Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,513
- 5,595
Vinakuwa vyekundu kutokana n.a. kujikuna hasa sisi wenye ngozi nyeupeHv vyekundu havikukutokea? Maana mm vilinianza hvyo kama mashiling vikapungua vikaanza tena hv vyekundu
Vinakuwa vyekundu kutokana n.a. kujikuna hasa sisi wenye ngozi nyeupeHv vyekundu havikukutokea? Maana mm vilinianza hvyo kama mashiling vikapungua vikaanza tena hv vyekundu
24 yrsumri tafadhali
Mmmhh ..hiyo tu?Asante niliwaonesha tu wakaniandikia citrizen
Wewe ni wa kike ama kiume?Hilo ni muhimu tupate pa kuanzia kukushauri.Habari zenu wana JF?
View attachment 692112
Naombeni msaada wenu nateseka na hivi vipele vya rangi nyekundu vinawasha sana hii wiki ya 3 toka vianze kunitokea,. Naomba msaada mwenye kujua dawa maana minyoo nimepima sina hospital wamenipa dawa za alleji nimemaliza juzi ila hazijasaidia chochote.
Naomba msaada wenu nifanyaje au nitumie nini.
Mungu awabariki.
NdyoMmmhh ..hiyo tu?
Vimekutokea sehemu gani ya mwili?Habari zenu wana JF?
View attachment 692112
Naombeni msaada wenu nateseka na hivi vipele vya rangi nyekundu vinawasha sana hii wiki ya 3 toka vianze kunitokea,. Naomba msaada mwenye kujua dawa maana minyoo nimepima sina hospital wamenipa dawa za alleji nimemaliza juzi ila hazijasaidia chochote.
Naomba msaada wenu nifanyaje au nitumie nini.
Mungu awabariki.
MwanamkeWewe ni wa kike ama kiume?Hilo ni muhimu tupate pa kuanzia kukushauri.
Sawa.Ngoja nimuulize mtaalamu wa mambo hayo ntaku tag.Mwanamke
Mapajan miguun mikonon mgongon tumbon uson kmetokea kimojaVimekutokea sehemu gani ya mwili?
Ntashukuru sana muoneshe Na hzo pcha ili apate mwangaSawa.Ngoja nimuulize mtaalamu wa mambo hayo ntaku tag.
Nimewahi kutana nayo sehemuUmeijulia wapi?
Mwanaume awe na ngozi laini hivyo?mwanaume mwenzako huoyo
Uwe unapima mara kwa mara HIV huwa ina stage tatu mpaka ionekane vizuri, ikiwa kwenye stage ya kwanza hata ukipima huwezi kuona kituAu wamenidanganya majbu hv unaweza kupma HIV alaf wakakuandkia majbu ya uongo?
Mmmh mboga umeingiza mambo ya migegedo tena ushapata ufumbuzi tayariMbona inakorogwa vzur mpak napga hata mabao 4 kwenye mechi moja
Shida nadhani ni allergy ya maji dada yangu. So hata kama ume andikiwa dawa alafu una rejea kwenye same exposures Ndio maana ni emdelevu. Dodoma Una muda gani?Mwez wa 12 vilianza vipele vidogo vidogo vinavyowasha vinajitengeneza style kama shiling vilianza mkononi badae vikatokea mwili mzma den vikawa vinakauka vinaacha alama vinatoka tena vingne wik ile kule ndovikaanza kutoka vngne vyekundu tofaut na vya mwanzo, kwenye familia hakuna Mwenye alej, kaz Bdo cjapata nmemalza Chuo mwaka juz. Mwanzo vilianza hv
Mwez wa 12 vilianza vipele vidogo vidogo vinavyowasha vinajitengeneza style kama shiling vilianza mkononi badae vikatokea mwili mzma den vikawa vinakauka vinaacha alama vinatoka tena vingne wik ile kule ndovikaanza kutoka vngne vyekundu tofaut na vya mwanzo, kwenye familia hakuna Mwenye alej, kaz Bdo cjapata nmemalza Chuo mwaka juz. Mwanzo vilianza hv![]()
Miaka 4Shida nadhani ni allergy ya maji dada yangu. So hata kama ume andikiwa dawa alafu una rejea kwenye same exposures Ndio maana ni emdelevu. Dodoma Una muda gani?
Itakuwa ni kwenye kunywa tu au hata kuogea?Shida nadhani ni allergy ya maji dada yangu. So hata kama ume andikiwa dawa alafu una rejea kwenye same exposures Ndio maana ni emdelevu. Dodoma Una muda gani?
Hahaha kuna mtu kaniambia et papuch haikorogwi vzur ndomana natokewa na vpele nimekosa cha kumjibu ikabd nimjbu hvyo ckuwa na jinsi mpenzMmmh mboga umeingiza mambo ya migegedo tena ushapata ufumbuzi tayari
Dawa chache......Hilo tatizo unalo kwa mda gan sasaNdyo
ilooo guuu naloaaaa mh lkn poleee madaktari wa ngozii mjee kuokoaa hiloo guuu lisiharibuuu mvutooo wakeeeHabari zenu wana JF?