Cracker_tz
Member
- Oct 27, 2017
- 9
- 22
Habari zenu ndugu zangu. Mtoto wangu ana changamoto ya vipele hivi. Alipelekwa hospital wakatupa dawa ya kupaka lakini haijatoa matokeo mazuri.
Msaada wenu napokea ushauri
Msaada wenu napokea ushauri