Yuko hapa kutaka kupata ushaurinwa daktari..Hili si jukwaa la afya?πππππ²π²π²πππ hata kama bwana hebu futa hio picha,kuwa na aibu kidogo.Ungeenda hosp kubwa umweleze doctor vizur.
πHabari Madaktari na wanadau wengine huku ndani.
Kama wahenge wasemavyo "Mficha maradhi Kifo Humuumbua" nipo njiani narudi tena hospital kuonana na daktari kufanya uchunguzi na kupata matibabu...
3. Genital HerpesSyphilis is really vijana kuweni makini. Kuna magonjwa mengine ya ngono hatari yasiyo na tiba.
1. Hepatitis B
2. HIV
Sawaaa sijakataa anataka ushaur,ila angejitahid kueleza kadir awezavyo humu hakuna mtoto tungeelewa tu jaman,siyo kuona mipin asubuh asubuh nimeshtuka π€π€π€π€ͺπ€ͺ,afu nipo karibu na wababa wa watu hapa πππnaangalia hii picha nawaangalia na wao naona kama hawajavaa tu πππππYuko hapa kutaka kupata ushaurinwa daktari..Hili si jukwaa la afya?π
Ila ushauri aende hospital na akumbuke kuvaa condom next time kuepusha magonjwa ya zinaa.
Syphilis is really vijana kuweni makini. Kuna magonjwa mengine ya ngono hatari yasiyo na tiba.
1. Hepatitis B
2 HIV
kumbe unapenda vizeeππSawaaa sijakataa anataka ushaur,ila angejitahid kueleza kadir awezavyo humu hakuna mtoto tungeelewa tu jaman,siyo kuona mipin asubuh asubuh nimeshtuka π€π€π€π€ͺπ€ͺ,afu nipo karibu na wababa wa watu hapa πππnaangalia hii picha nawaangalia na wao naona kama hawajavaa tu πππππ
Mkuu,Pole mkuu!
Umechepuka hivi karibuni?
Anyway, hizo ni dalili za gonorrhea(inaonekana bado ni hatua za awali) ingawa yaweza kuwa syphilis pia.
mchukue wife mwende pamoja hospital , wambie wawapime gono na VDRL ,, ni rahisi kutibika ktk hatua hizi za awali.
ugua pole.
Nisamehe sana,Sawaaa sijakataa anataka ushaur,ila angejitahid kueleza kadir awezavyo humu hakuna mtoto tungeelewa tu jaman,siyo kuona mipin asubuh asubuh nimeshtuka π€π€π€π€ͺπ€ͺ,afu nipo karibu na wababa wa watu hapa πππnaangalia hii picha nawaangalia na wao naona kama hawajavaa tu πππππ
Natamani sana kueleza yote ila nimejaribu kusema kwa ufupi;Pole sana.
Ijapokuwa hujaeleza wazi ni vipimo gani daktari alikuandikia. Hujatuelezea pia historia yako ya hivi karibuni ya ushiriki wako wa tendo la ndoa...
Ulimuonesha daktari dhakari yako na kumuelezea unavyojisikia? Sikuona sababu ya kupima stool. Urine okay.Natamani sana kueleza yote ila nimejaribu kusema kwa ufupi;
Mara ya kwanza nikipita Stool, Urine na BS.
Mimi na mwenzangu tulishiriki tendo la ndoa mara ya mwisho siku ya ijumaa last week.
Nashukuru sana Dr kwa ushauri wako.
πππππππ€£π€£π€£ nyie Kuna watu mna mambo,ila nimechekakumbe unapenda vizeeππ
Kuna siku katika purukushan za game penis Ikalia taaa maumivu yake sio ya nchi hii
Nikaend modem manzese hospital π₯ nikakuta mzee mmoja daktari sasa nikamuelezea mwisho nataka nivue ninwonyesh...