Msaada hili ni jeshi gani?

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,770
Reaction score
4,857
Wakuu habarini!katika pita pita zangu huko Fb picha inayotrend kwa sasa ni huyu mjeshi
Hapo hiyo chuma kampa dogo bila hiyana dogo nae kainua chuma.
S
Sasa swali langu hili ni jeshi gani hapa Bongo lala?je kama ingekuwa na lisasi na dogo akakumbuka Movie zetu za komando kipenzi si hatari hii?au wataalamu wa silaha taratibu zikoje?

Uzi tayari. NB: Jamaa kujipost mwenyewe kasahau Dunia kijiji.
 
Hayo mavazi mbona kama ya mgambo ??
 
.
 
Maaskari wa siku hizi ni vituko, haileweki wanafanya hivyo kwa minajili gani huku kanuni za maisha ya kijeshi haziruhusu mambo hayo
 
Huyo dogo alieshika hiyo chuma ana sura ya kuja kuwa jambazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…