Msaada hiki ni kifaa gani nimepewa

Diski ngumu. (hard disc)
 
Mr mushi samahani je ndo inayotumika kama external?
hio ni hard disk lakini ni ya ide,

macover yapo kuifanya iwe external bei inarange 10,000 hadi 15,000, ila ukumbuke ni ide na sio sata, hard disk nyingi ni sata hivyo lazma useme ukiwa dukani.
 
Hicho kifaa kinatumika jandoni... Kinaitwa kisu cha ngariba. Kwani we bado kutahiriwa? 🙁🙁🙁
 
Reactions: MC7
Uliiba usichokijua, huoni pameandikwa GB,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…