Msaada hiki ni kifaa gani nimepewa

Msaada hiki ni kifaa gani nimepewa

Nachukia sana hii tabia ya watu, kujibu wasichokijua au masihara kwenye jukwaa hili, wakati majukwaa ya umbea na ujingaujinga kama huo yako. ``chit chat`` kwanini msiende huko? wacheni watu wanaotaka kujifunza wajifunze kupitia jukwaa hii. Kwa ujinga huu mnasababisha hata watu waliokuwa wanatoa nyuzi za maana hawatoi siku hizi.
Nikirudi kwenye maada hiyo ni hard drive ide, sema uwezo wake wa kuifadhi vitu ni mdogo 10GB, ilikuwa inatumika kwenye computer za zamani, ukizingatia kwa kwa sasa kuna mpaka 2TB. Kwa sata hard drive ndiyo zinazotumika sana kuliko ide.
Mkuu hapa ndipo tulipo fika kwasasa,tatizo kubwa ni ELIMU na KUTOJITAMBUA, majukwaa yapo mengi na kila moja lina dhana yake lakini yamevamiwa, msaada tena hakuna ni matusi, mizaha, kutuhumiana, na kejeli. Jukwaa letu limepoteza mvuto kabisa. Wajuzi wengi wametoweka sio kama zamani.
Natamani ningekuwa moderator watu wangekula ban za 30yrs.
Majukwaa ya mizaha, utani nk yapo lakini....
Aaaghaaaa Ngoja tu ninyamaze.
Heshima kwenu great thinkers wote mnao zingatia utaratibu wa jf.
 
Unasema mkuu ni sahihi kabisa, kuna wakupigwa life ban, kwenu mamods hili naomba muliangalie. Watoto/watu wazima wasio jitambua. Wajue kama kupitia hili jukwaa la taluuma na ufundi kuna watu wanajifunza. "Online class" ukiwa unajua basi kaa kimya wenzio wajifunze wasicho kijua. Kwa maandishi ya ovyo watu watajua kuwa something wrong katika malezi, watu wajifunze kupitia maandishi yenye tija. Tubadilike wanajamii.
 
hio IDE ni ya kizamani na SATA ni mpya, ni vyema ukawa na sata kwa sasa hivi na pia si rahisi kukuta laptop au desktop mpya inatumia IDE.

tofauti zake za muonekano ni connector
ide_vs_sata_drive.png

hio IDE ina speed hadi 133mbps wakati SATA inaenda hadi 6gbps
Shukran sana mkuu
 
Nachukia sana hii tabia ya watu, kujibu wasichokijua au masihara kwenye jukwaa hili, wakati majukwaa ya umbea na ujingaujinga kama huo yako. ``chit chat`` kwanini msiende huko? wacheni watu wanaotaka kujifunza wajifunze kupitia jukwaa hii. Kwa ujinga huu mnasababisha hata watu waliokuwa wanatoa nyuzi za maana hawatoi siku hizi.
Nikirudi kwenye maada hiyo ni hard drive ide, sema uwezo wake wa kuifadhi vitu ni mdogo 10GB, ilikuwa inatumika kwenye computer za zamani, ukizingatia kwa kwa sasa kuna mpaka 2TB. Kwa sata hard drive ndiyo zinazotumika sana kuliko ide.
Umesema SATA hard drive yaenda mpaka 2TB .... Hiyo TB did you mean tetrabyte or what?
 
sawa mkuu .... tuberculosis ndani ya electronic device ... tutafika tu japo safari imesonga
mpaka mwaka uishe...
tutashududia mengi, haaa haaaa
wacha nicheke weee maaana hakuna namna!!!
acha eletronics ziuuguee tu
 
sawa mkuu .... tuberculosis ndani ya electronic device ... tutafika tu japo safari imesonga
Ndiyo yale niliyosema mwanzo, watu wangine wapo kwa ajili ya kuchafua nyunzi, ili waonekana wajuwaji, inayo ongekewa hapa ni hard drive, tuberculosis imetokea wapi. Jifunz, vifupi vya maneno vina maana nyingi, inategeme na mahali vilipo tumika. Siwezi kuongelea DC mkuu wa wilaya, maada iliyo ubaoni ni mkondo mnyofu DC, ili tu nionekane mjuaji, wenye akili zao wataniona ni msomi nisie elimika. Wenye hekima hua wanasoma ulicho andika, na kujua wandishi ni mtu wa aina gani. Wakumsamehe bure, mwandishi tuberculosis.
 
Wachache wenye ufahamu na wenye reasoning kama yako .... ni tumai langu wale wasojitambua wavadirike ili JF kweli iwe ni the "home of great thinkers" .... congrats
 
Back
Top Bottom