AsanteKondomu hiyo,tumia tu!
msaada zaidi mkuu nini tofauti ya hizo ide na sata? .... na endapo kuna issue ya ubora ... ni ipi bora zaidi?hio ni hard disk lakini ni ya ide,
macover yapo kuifanya iwe external bei inarange 10,000 hadi 15,000, ila ukumbuke ni ide na sio sata, hard disk nyingi ni sata hivyo lazma useme ukiwa dukani.
hahhhahahahaha HDD 10gb uuuwiiiiiii10gbytes
hio IDE ni ya kizamani na SATA ni mpya, ni vyema ukawa na sata kwa sasa hivi na pia si rahisi kukuta laptop au desktop mpya inatumia IDE.msaada zaidi mkuu nini tofauti ya hizo ide na sata? .... na endapo kuna issue ya ubora ... ni ipi bora zaidi?
Msaada chief kuna simu anatumia b-mkubwa wangu,nikiweka mobile data on haitumi wala kupokea info yoyote whatsap,but nikitumia wifi tatizo linaisha kwa maana nafanya mawasiliano kama kawaida,hili tatizo lina siku mbili nime update whatsap to the latest version but tatizo liko pale pale,apps zingine zote zimafanya kazihio IDE ni ya kizamani na SATA ni mpya, ni vyema ukawa na sata kwa sasa hivi na pia si rahisi kukuta laptop au desktop mpya inatumia IDE.
tofauti zake za muonekano ni connector
![]()
hio IDE ina speed hadi 133mbps wakati SATA inaenda hadi 6gbps
angalia setting za internet kama zipo sawa,Msaada chief kuna simu anatumia b-mkubwa wangu,nikiweka mobile data on haitumi wala kupokea info yoyote whatsap,but nikitumia wifi tatizo linaisha kwa maana nafanya mawasiliano kama kawaida,hili tatizo lina siku mbili nime update whatsap to the latest version but tatizo liko pale pale,apps zingine zote zimafanya kazi
Ndugu hiyo ni Hard Disk ya Parallel (IDE- PATA) ni ya zamani kipindi hicho SATA hazijatoka. hiyo ni GB 10 tu, wala usihangaike nayo weka kwaajili ya makumbusho
Ooooky mkuuSi mwizi nimepewa