Kwa wale walioenda wizara ya elimu leo naomba mnijuze yaliyojiri........

0786107530

au

0763107831

mwambathegreat@gmail.com
Wamesema kwamba hawakuweza tena kukaa kikao ile ijumaa, kwa hiyo kikao wangekaa leo ile saa nane, kuhusu wataamua nini wamesema twende kesho saa 6 mchana tutaambiwa. Walituletea mpaka usalama wa taifa, sasa sijui wana wasiwasi gani watu hate nyembe hatuna! Ndo hivyo bana we kama vipi kesho uwepo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.