Msaada: Hawala anataka tugawane mali

Tengeneza mchezo wa fumanizi, kodisha na macamera man kabisa...kama ukishindwa nione mchezo simple tu, ukiwa na ushahidi huo automatically hana haki asepe kama alivyokuja. Hawa single mother wabaya sana...Wana laana wanatembea nazo
 
Wewe jamaa bana yani mtu umeishi nae for 3 years bado unamuita Hawara? Mke wako ni yupi sasa kama huyo ni hawara? Huyo kisheria ni mkeo tena usitafute sag kubwa wewe kaa nae chini muelewana kama unampoza mpoze apite ivi ukitumia force apo utaumia mkuu mwanamke anaonekana kukuzidi akili ndo mana umekuja kulia lia hapa jamvini.

Sisi tukipiga kelele humu kuwa Single mother ni wakuchakata na kuacha hamuelewi kabisa katika single mothers 10 ni mmoja tu unaweza kuta anajielewa hao watu ni matatizo na tayari wana makovu mioyoni mwao.

Usipuuze Kuona mwanamke ana mbebea mtu mimba anakaa nayo for 9 months mpaka anazaa tena unakuta mtu unaokoteza single mother aliezaa wakati yupo mtaani yani hakuwa sekondari wala hakubakwa mtu alikuwa tu kwao kakutana na kajamaa kakapenda kabeba mimba mpaka kuzaa wewe leo unaamua kujitwisha mzigo kichwani, Hemu jaribu kutafuta single mother anae ongea vizuri kuhusu Ex wake au aliempa mimba uone kama utapata ataongea mbovu ila still akipeleka mtoto kumuona babake analiwa tena
 
Wewe jamaa bana yani mtu umeishi nae for 3 years bado unamuita Hawara? Mke wako ni yupi sasa kama huyo ni hawara? Huyo kisheria ni mkeo tena usitafute sag kubwa wewe kaa nae chini muelewana kama unampoza mpoze apite ivi ukitumia force apo utaumia mkuu mwanamke anaonekana kukuzidi akili ndo mana umekuja kulia lia hapa jamvini...
Ushauri mzuri ila nitashinda nakuhakikishia hilo.....mengine Ni funzo pia
 
Tengeneza mchezo wa fumanizi, kodisha na macamera man kabisa...kama ukishindwa nione mchezo simple tu, ukiwa na ushahidi huo automatically hana haki asepe kama alivyokuja....Hawa single mother wabaya sana...Wana laana wanatembea nazo
Kweli aisee yaan kalivyokomaa na mamaake aisee.....sema hii hadi nimrudishe hii itakuwa ya mwisho kimchezo
 
Sijaelewa Watu wanaozungumzia dhana ya ndoa ni watu walioishi Miezi 6 nikwamujibu wa Sheria ipi au kwamujibu wa stori za mitaani.
Nijuavyo niwawe wameishi miaka miwili mfululizo na kuendelea Kama ilivyoelezwa kwenye kifunga namba 160 cha sheria ya ndoa.
Sasa unasema kuna wakati ulikua unatengana nae anarudi kwao je alikua anakaa muda gani kwao ndipo anarudi tena kwako.
Yaan Mimi nazingatia sana hilo MIAKA MIWILI MFULULIZO.....na atanipimia tu huo muda ngoja nipange files....
 
Na ndugu zako wakijua jina nila mzazi wenu, je tayari una watoto ukatangulia unawaacha vipi watoto wako! Ndugu zako unawaamini vipi, unazani watoto wanaozurura mtaani wazazi wao hawakuwahi kuwa na mali embu jifunze tena maisha ya ndoa
Nimekuambia mzazi siyo ndugu, sidhani kama mamaangu anaweza wadhurumu wanangu Mali.
 
Nimekuambia mzazi siyo ndugu, sidhani kama mamaangu anaweza wadhurumu wanangu Mali.
Mie sijakataa ukiandika mzazi, halafu ukawa na ndugu zako wakajua hivi wewe unawajua ndugu, usione watu wanalia kadhurumiwa,

Hapa nina jirani mwanaye huwa anatuma pesa ajengewe nyumba Baba kajenga mfano wa nyumba, kisha pesa nyingine kamjengea kimada na gari kamnunulia, kamaliza kumjengea na kumilikisha, kimada kamtimua Mzee alitaka kufa kwa pressure, mwanaye huko anajua nyumba tayari.
 
Mie sijakaa ukeandika mzazi, halafu ukawa na ndugu zako wakajua hivi wewe unawajua ndugu, usione watu wanalia kadhurumiwa, hapa nina jirani mwanaye huwa anatuma pesa ajengewe nyumba Baba kajenga mfano wa nyumba, kisha pesa nyingine kamjengea kimada na gari kamnunulia, kamaliza kumjengea na kumilikisha, kimada kamtimua Mzee alitaka kufa kwa pressure, mwanaye huko anajua nyumba tayari.
Duuuuh kweli kuna baba wengine nongwa. Ndio maana nimesema Sidhani kama MAMAANGU anaweza wwadhurumu wanangu Mali.......
 
Duuuuh kweli kuna baba wengine nongwa......Ndo maana nimesema Sidhani kama MAMAANGU anaweza wwadhurumu wanangu Mali.......
mama kama hana mambo mengi ni sawa tu lakini umwandike yeye na Baba yupo? Labda kama wametengana, unaweza kuta naye kuna ndugu zako ambao yupo close sana nao ujue imekula kwako, kwababa aise huyu Mzee unajua nimzee kabisa mpaka najiuliza huyu babu daa
 
Back
Top Bottom