Msaada: Hawala anataka tugawane mali

Sijaelewa Watu wanaozungumzia dhana ya ndoa ni watu walioishi Miezi 6 nikwamujibu wa Sheria ipi au kwamujibu wa stori za mitaani.
Nijuavyo niwawe wameishi miaka miwili mfululizo na kuendelea Kama ilivyoelezwa kwenye kifunga namba 160 cha sheria ya ndoa.

Sasa unasema kuna wakati ulikua unatengana nae anarudi kwao je alikua anakaa muda gani kwao ndipo anarudi tena kwako.
 
Hapo ndio wengi wanaume wanapo-fail kwenye sheria. Kuishi na mwanamke,haijalishi ana kazi au ni mama wa nyumbani tu. Wewe mwanaume unapoenda kazini,nyumbani unamuacha mwanamke na ukirudi unakuta tayari kakufulia nguo, tayari kapika,unakula hapo wakati time kama hiyo ungekuwa mitaani unahangaikia msosi,lakini now unashambulia msosi ulioandaliwa. Nyumba unaikuta safi. Badala ya kuhangaikia wa kustarehe nae,unajua tu yuko nyumbani wa kumaliza hiyo inshu.

Sasa hebu jiulize hata kidogo tu kwa muda mlioishi pamoja utamuachaje aende kama alivyokuja?. Je muda uliompotezea?. Ndio hapo sheria inapokuja kuamua huyu nae aambulie chochote ktk huo muda uliompotezea akikustarehesha,akikupikia,akikufulia. Ameshauri jiko likae wapi?. Kuna uwezekano hata tofali amebeba. Hivyo
 
Yaan umevurugaaaa weee K ya mdada wa watu miaka 3, umeshashiba now umepata mpya eti umbwage...

Hiyo mali mnagawana pasu pasu, kwanza kwa kukutunza wewe, kumpotezea muda na kukuweka vizuri kisaikoloji ili usiende kubaka huko nje!


Sheria iko wazi povu halisaidii
 
Yaan umevurugaaaa weee K ya mdada wa watu miaka 3, umeshashiba now umepata mpya eti umbwage...

Hiyo mali mnagawana pasu pasu, kwanza kwa kukutunza wewe, kumpotezea muda na kukuweka vizuri kisaikoloji ili usiende kubaka huko nje!
Hakuna kugawana 5050 kama hakuhusika na hana ushahidi wa kuhusika
 
kama ajakuzalia we mkatae tu sema alikua beki 3 wako anakusaidia kufanya mambo ya usafi wala hamna mahusiano yoyote na yeye wala mwanae akapambanie kombe kwingine mazafanta
 
Usipotoshe, "Presumption of Marriage" kwa mujibu wa sheria ya Ndoa inasema muwe mmeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili. Hiyo presumption ya miezi sita umeitoa wapi? All in all kuna factors nyingi zaidi ya muda walioishi pamoja. Jamaa akiwa smart anaweza kum-dump vizuri tu huyo mwanamke. Maana kwa kigezo cha muda, "Presumption of Marriage" ina-qualify
Yes ni miaka 2, nilipitiwa kidogo hapo.

Hivyo jamaa asitumie nguvu maana mwanamke ka-fit vigezo vyote.
Unforgetable
 
Mimi nimefanya kazi ustawi wa jamii na nimesimama mahakamani Mara kadhaa kutoa social inquiry report ya haya Mambo.

Kumbuka point of reference ya maamuzi ya Mahakama pia huchukuliwa kutoka kwa afisa ustawi. Hivyo ninaongea ninachokijua sibahatishi. Hizi kesi nimeziona nyingi na wanawake wanabwagwa mapema tu...
We mjaze ujinga mwenzie kwa kuitumia uzoefu wenye rushwa ndani yake ukifikiri majira na Zama no zile zile! Haijarishi umesimama mahakamani Mara ngapi Kama maamuzi yaliambatana na rushwa usije hapa ukafikiri unazijua Sana Sheria na hukumu, utamkaanga mwenzio kwa mafuta yake mwenyewe! Kwa hiyo acha kujimwambafai hivyo!
 
kama ajakuzalia we mkatae tu sema alikua beki 3 wako anakusaidia kufanya mambo ya usafi wala hamna mahusiano yoyote na yeye wala mwanae......akapambanie kombe kwingine mazafanta
We acha hizo, atatakiwa amlipe ujira wa kufanya usafi na mengine na pia alete na na list au payslip za mishahara ya miaka 3 na pia uthibitisho wa mawasilisho ya nssf kwa kipindi chote, vinginevyo itabidi alipe Tena na fine! Yeye mwache ajichanganye, atarudi hapa na kilio yangu masikio na macho!
 
We acha hizo, atatakiwa amlipe ujira wa kufanya usafi na mengine na pia alete na na list au payslip za mishahara ya miaka 3 na pia uthibitisho wa mawasilisho ya nssf kwa kipindi chote, vinginevyo itabidi alipe Tena na fine! Yeye mwache ajichanganye, atarudi hapa na kilio yangu masikio na macho!
Acha ujinga wewe Bwege , uliisikia ile kesi ya mkuu wa wilaya ya mpwapwa ?? Iliishia wapi na yule ndio mpaka magufuli anajua mshahara wake. Usijifanye unajua taaluma za watu bwege wewe.

Hiyo kesi hata hakimu haombi maji ya kunywa kulainisha Koo kabla hajatoa maamuzi magumu. Halafu Nani kakwambia nilikuwa nafanya kazi kipindi Cha rushwa ... Jifanye unanijua Sana tu
 
Bora umweleze ukweli mtu huna mtoto nae huna ndoa nae sasa hapo kuna nn na kweli hakimu haitaji hata maji kabla hajatoa maamuzi kwenye kesi kama hiyo
 
Ni muda Wa miaka mitatu sasa umepita tangu tukutane na huyu binti yaani mwaka 2017 akiwa Single mother yaani ameisha zalishwa mtoto mmoja. Tukabebana hapa sokoni bila kwenda kwao tukayajenga tukakubaliana nikamchukua yeye na mtoto wake tukaanza maisha...
Ikiwa kiwanja ulinunua wakati mpo wote hata kama hajaandika jina lake nae yupo ktk hiyo Mali ,na kama alikikuta kiwanja baadae mkaja jenga hiyo nyumba inapigwa tathimini kisha.

Unatakiwa kumpa nusu ya gharama,kuzaa na kufunga ndoa hivyo vitu vya ziada ambavyo havina mashiko ktk kugawa Mali, umeishi nae miaka 3 ,ukiishi na mwanamke miezi 3 kisheria anajulikana kama mkeo haijalishi umefunga ndoa au la?,

kama hautaki kumlipa huyo mwanamke kwa kuwa alikuwa anakaa tu nyumbani itabidi umlipe kama mfanyajazi WA ndani kiselikali mfanyakazi WA ndani anatakiwa alipwe kama 70 elfu japo cna hakika kwa sababu alikuwa anakupikia,kukufulia na zaid ulikuwa unamtumia kama mke,

kwa hiyo Fanya 70 mara 12 kisha Fanya mara kwa miaka mliokaa, baada ya hapo Fanya kama hiyo pesa ulikuwa unampila kila mwezi sasa anaacha kazi anatakuwa apate kiiinua mgongo chake,

Muulize anataka sh ngapi umlipe mbele ya ushahidi atakusumbua huyo
 
Acha ujinga wewe Bwege , uliisikia ile kesi ya mkuu wa wilaya ya mpwapwa ?? Iliishia wapi na yule ndio mpaka magufuli anajua mshahara wake. Usijifanye unajua taaluma za watu bwege wewe.


Hiyo kesi hata hakimu haombi maji ya kunywa kulainisha Koo kabla hajatoa maamuzi magumu. Halafu Nani kakwambia nilikuwa nafanya kazi kipindi Cha rushwa ... Jifanye unanijua Sana tu
Povu la Nini Sasa! Majibu yako kabisa yanaonyesha kutokuwa na uwezo Wala uzoefu wa kusimama mahakamani, maana hata sijachomoa fuzi tayari povu lote Hilo!

Kweli utasimama mahakamani na wakili anayejua kazi yake ww! Asante kwa kujilipua na kuonyesha usivyoweza simama mahakamani! Sasa nikuambie, hizo Jedi zote Kama ni kweli ulishuhudia hao wanawake kushindwa Basi ziligubikwa na rushwa, upendeleo, na ukandamizaji wa haki zao! Zikifufuliwa utakimbia nchi!

Nikushauri, hauna hadhi ya kushauri chochote maana uzoefu wako unatia walakini wa maamuzi yenye harufu za RUSHWA! Toa Tena povu! Huyo jamaa unayejaribu kumjaza ujinga akifuata yatakayomkuta asije juta baadae! Siku hizi wakuu wa wilaya na mikoa wanawashika mikono wanyonge hao kina mama, awe makini!
 
Nakutumia namba ya Mwanasheria mmoja matata sana.

Kesi kama iyo iliwahi mpaka ndugu wangu wa karibu.

Kwa ufupi jamaa ana majumba, magari na biasharaa.

Sasa baada ya kuachana na mkewe sababu ya mke kujaribu kumuua mara tatu lkn anashindwa..ndipo akaachana naye baada ya demu kukiri.

Akakutana na kadem ni singo mama mmoja ivi, wamekaa karibu mwaka mmoja na ushee..singo mama akaanza kuleta maneno ,et anamwambia jamaa ni mkubwa sana kwake mara nn, mara nn.

Ikaenda mahakaman... DEMU ALIONDOKA , NA HAKUPATA HATA SHILINGI KUMI.
Ni muda Wa miaka mitatu sasa umepita tangu tukutane na huyu binti yaani mwaka 2017 akiwa Single mother yaani ameisha zalishwa mtoto mmoja. Tukabebana hapa sokoni bila kwenda kwao tukayajenga tukakubaliana nikamchukua yeye na mtoto wake tukaanza maisha..
 
Usihofu, nakutumia namba ya Jamaa,, atakuchorea picha nzima ya ushindi.
Ni muda Wa miaka mitatu sasa umepita tangu tukutane na huyu binti yaani mwaka 2017 akiwa Single mother yaani ameisha zalishwa mtoto mmoja. Tukabebana hapa sokoni bila kwenda kwao tukayajenga tukakubaliana nikamchukua yeye na mtoto wake tukaanza maisha...
 
Back
Top Bottom