msaada hasa wadada na wakaka wanaofahamu!

Mpango mzima ni ujuzi wa kitandani hio six pak ni muonekano tu wa nje ambao hauna uhusiano na yaleeee mambo yetu

asante kwa machango wako manka. But ukiwekewa wanaume wawili hapo mmoja hana hyo six pack na mwingine anayo harafu hujui chochote kuhusu their peformnce. Utachagua yupi?
 
Six pack makes a guy look HOOOT AND SEXIER,we unaona kitambi hcho nan anapenda ?sanasana it makes kigegedeo look smaller
mwny six pack mins got more energy and strength kw hyo ht kukubeba his girl sio tatzo esp ukiwa portable,mwanamke gan asiependa kubebwa jamaniiii....wenye vitambi mna majangaaa viondoeni
 
Mkuu hii ya wadada kupenda six sijui kwanini na sina uthitisho naye maana nimeisikia JF, Ninavyojua mimi Mwanamke kukupenda au kuigiza kukupenda kuna factor nyingi ikiwemo tabia zako, uwezo wa kiuchumi, performance ya kitandani, elimu, familia unayotoka na physical appearance ambayo ndani yake kuna urefu, na viungo muhimu kama miguu, uso na vitu kama muonekano wa tumbo ambalo kuna six packs.

Kikubwa ni kujiangalia katika nyanja zote ili uwe na mvuto na maisha bora kwa ujumla sio kukariri, yaani kuwa na tabia zinazoendana na mazingira halisi au ya wakati fulani, piga shule sana, jitahidi kutafuta pesa, jifunze kumfurahisha mpenzi wako panapostahili, fanya mazoezi ili uwe active na kujikinga na maradhi ata kama muda umebana, la zaidi uwe updated na currenr trends.
hilo ni moja ya faida ya mazoezi kupunguza nyama nyama. Hivi kweli hii inaweza ikawa sbabu ya wadada kupenda sana wananume wenye six pack?
 
there is no direct correlation between six packs na bedroom matters, sana sana i think packs inasaidia tu kwa mwonekano wa nje sababu dada zetu wanapenda kua na watu good looking and with nice bodies. Lakini mind you that, performance kwa bed inakua determined na a number of factors, unaweza ukamuona mtu na kitambi kaa cha huyo bwana hapo juu lakini efficiency yake ikawa ni zaidi hata ya mwenye six packs.
 
Hii six packs ni similar thng km wanaume wanavopenda shape nzur ya mwanamke...t may or not affect perfomance bt surely unakuwa umepata mtu mwny mvutooo wa kike/kiume
 
hapana preta mimi si mwanamke! Mimi mwananume shupavu or call me real gentlemen!

eheee......sawa sawa........sasa......kwa kuwa na mimi binafsi ni mdau wa hiyo kitu.........naweza kukuhakikishia kwamba nitakueleza........lakini huwa inafaa sana kwa vitendo.........upo tayari....?
 

CC. nundaz........
 
Last edited by a moderator:
eheee......sawa sawa........sasa......kwa kuwa na mimi binafsi ni mdau wa hiyo kitu.........naweza kukuhakikishia kwamba nitakueleza........lakini huwa inafaa sana kwa vitendo.........upo tayari....?

Hahahahahahahahahaaha
 
Haya ni masuala ya evolution tu, hakuna lingine. Kiasili binadamu anavutiwa na mtu mwenye afya njema, either mwanamke au mwanaume. Six packs sio urembo tu, it says something about the person, it suggests good health and good genes. Hao watu wawili kwenye picha ukiwaambia washindane kwenye physical activities, it's almost certain that kitambi atashindwa tu. Inga2a kawaida sio sheria
 
wadada wa kibongo wanapenda hela, usidanganyike ndugu..
 
Kwanza unatakiwa ujue kwamba katika factor ambazo dadaz wanaangaliaga mojawapo ni afya.
Na mwanaume mwenye umbo zuri la six pack anaonekana ni mwenye afya nzuri
Mojakwa moja hii inaashiria kwmb yuko fiti ktk kugawa dozi
Tofaut na huyo mwenye li kitambi lake akipendwa atakuwa kapedewa pesa aw kapendw na mtu asiejali cx pac ni nn...
 

naanza kupata sababu za misingi za kwa nini wadada wanapenza kitu inaitwa six pack....! Kumbe!
 
Tafuta hela tu ndo la msingi.

Hakuna mwanamke asiyependa hela.
 

duh...! Six pack ina maana nyingine kuwa na afya bora? Asante kunipa elimu nzuri sana kwa siku ya leo...! Ubarikiwe....!
 
Kapiga Tizi amenawili kwakuwa kulikuwa na tetesi kwamba ana kidudu kijana mdogo mwenye kipato pili anakibito tinted mziki mzito...
 
eheee......sawa sawa........sasa......kwa kuwa na mimi binafsi ni mdau wa hiyo kitu.........naweza kukuhakikishia kwamba nitakueleza........lakini huwa inafaa sana kwa vitendo.........upo tayari....?

nipo tayari PRETA: Itakuwa elimu nzuri sana kwangu mimi. Pm tu hakuna shida.
 

MKUUu nimekupata vema....! Kwa jinsi ulivyoliweka hili wazo lako ni kuwa six pack haitoshi inabidi kuongeza mambo mengine ya msingi....! Saluti sana mkuu.
 
Km hela ingekuwa kila kitu mushi na yule jamaa wa ilala wacngetumia bastola,ts a combination of factors,km ambavo mwanamke unakuwa na shape nzur af kichwani ziro unategemea nini....nacctza km una kitambi kipinge kw nguvu zote,sio ishu jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…