Msaada haraka kabla sijakata moto


🤣🤣🤣 Asernal


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee..
Wewe Ni mchekeshaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee..
Wewe Ni mchekeshaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kiasi fulani naweza sema ndio na mara nyingi huwa napenda kuwachekesha jinsia ya kike sanasana hili hutokea automatic tu.. sisi me huwa tuko serious Sana kushinda wakike pia jiongeze kwanini napenda kuwachekesha wao😜 wanacho ambacho hatuna ila sichekeshi live mkuu ni Kama hivi kwa kuandika live ni mpk nimzoee muhusika kwelikweli!! Maana kindly huwa naona aibu! A kind of introvert one.
 
Mbona huko juu wamecheka wa kiume wengi..
Una kipaji Cha kuchekesha,sipati picha watu wako wa karibu wanavyovunjika mbavu kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aiseeee,😃😃😃😃
 
Usisahau kutembelea uzi ule wa kula tunda. Baada ya matokeo toka hapa

God save us
Mkuu ule uzi ni kwaajili ya waliosajiliwa kwa alama za vidole sisi wengine Kuna usajili wa aina yake utakuja iandae pua yako vyema tu!
 
Mkuu ule uzi ni kwaajili ya waliosajiliwa kwa alama za vidole sisi wengine Kuna usajili wa aina yake utakuja iandae pua yako vyema tu!
Haha, usisahau kunitag tu

God save us
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…