Msaada: Haraka imeniponza

Msaada: Haraka imeniponza

Heshima kwenu nyote..Poleni na majukumu.
Kuna mtu humu alipost kitu ili kuzuia usumbufu kwenye simu,alsema unaminya *002*007#.mimi nmejaribu na line imejilock mpaka sahiz nashndwa ku unlock..anaejua plz anisaidie.Samahan kwa usumbufu.
I can help you, if you come with a good price, TANGU Magu atangaze watu wasicheze pool, watu wameamua kutafuta ajira kwa style tofauti. Hiyo ku-unlock not less than 15K. Ila kwa kuwa wewe hujui, ntakufannyia kwa 10K.
Pm me for next procedures.
 
Thanx
 
avatar yako imenifanya nikaoge kwa Mara nyingne na sabuni revola imeisha
 
Heshima kwenu nyote..Poleni na majukumu.
Kuna mtu humu alipost kitu ili kuzuia usumbufu kwenye simu,alsema unaminya *002*007#.mimi nmejaribu na line imejilock mpaka sahiz nashndwa ku unlock..anaejua plz anisaidie.Samahan kwa usumbufu.
Piga #35*0000# alafu nipe majibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom