Msaada: Haraka imeniponza

Msaada: Haraka imeniponza

Jamiwak

Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
26
Reaction score
11
Heshima kwenu nyote,

Poleni na majukumu, kuna mtu humu alipost kitu ili kuzuia usumbufu kwenye simu,alsema unaminya *002*007#.mimi nmejaribu na line imejilock mpaka sahiz nashndwa ku unlock..anaejua plz anisaidie.

Samahan kwa usumbufu.
 
Una mchepuko?? Mana ye alisema kama unaona una mchepuko type hzo namba
 
Nimekuuliza unatumia simu gani nikupatie msaada au unachagua msaada kwa member?
 
Ooh izo setting zake sijazishika ila ukiweza kuipata call forwarding ui disable

Au ukiweza reset iyo simu
Ok..asante...
Nmetafuta cjapata call forwadin..nikibadlisha line nikaweka kwenye Huawei Y330,niifanyeje?
 
Ok..asante...
Nmetafuta cjapata call forwadin..nikibadlisha line nikaweka kwenye Huawei Y330,niifanyeje?

Ingia kwenye phone/call ile sehemu ya kupigia au kuwekea vocha, minya alama ya option ipo kushoto/kulia, fungua call setting utaipata iyo call forwarding
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom