suzy daniel
Member
- Mar 12, 2014
- 57
- 10
ninatafta kazi yoyote hapa dar es salaam, elimu yangu diploma ya journalism namba yangu 0659919873. Nisaidien jaman har ngumu sana

Umeshakaguliwa dada! Kam zis way kwa mkaguzi nikufanyie the needful!
I miss you jamani!ulipotelea wapi?
Nipo Mpendwa. Nimekamatwa na majukumu ya kulijenga taifa. Nitakupa bonge la supprise, we subiri kidogo!
We unapenda kazi gani? Kama unaweza kuwa msaidizi wangu binafsi twende PM chapchap sana.
Weka picha yako kabisa ili nijue lini saa ngapi na wapi unafaa kuitwa kwenye intavyuu