financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,212
- 43,610
Hahaaa wanataka nini sasa? Dough ama?,ila dough nazo muhimu kuharakisha mchakato ujue😀
Hahaaa wanataka nini sasa? Dough ama?,ila dough nazo muhimu kuharakisha mchakato ujue😀
Acha kuvunga kama unampenda pia, tupia sounds I hope hawezi kukuchomolea, kila rakheri
Lazma amletee mapoziAcha kuvunga kama unampenda pia, tupia sounds I hope hawezi kukuchomolea, kila rakheri
pamoja sanaKhaa mimi ni nani?, kwahiyo mimi ni Covid mkuu?😪, sawa mwamba
Direct tuu. Unamwmabia unachotaka mnamalizana.Hahaaa wanataka nini sasa? Dough ama?,ila dough nazo muhimu kuharakisha mchakato ujue[emoji3]
Labda nisubiri papuchi tu ila si teke
wewe jamaa sikufahamu ila kuna vitu vingi naona tupo in common pamoja sana
Nipatie namba yake Kuna ishu nataka kumuulizaMuite geto kwako umle kimasihara
kuongea sana kupoteza mudaa throw those daamn dows ule kimasihara ha haHahaaa wanataka nini sasa? Dough ama?,ila dough nazo muhimu kuharakisha mchakato ujue😀
Hata kama akichomoa, itachukua time atakaa sawa muhimu kujua type ya mtu ili apange speed ya ufukuziaji tuu, kw maana tayari kuna urafiki/bond ambayo binti ndio catalyser wakati jamaa anajiona "special"..... au mkuu anataka atongozwe?
Aongee tuu ili a unload mzigo ulioko ndani ya nafsi yake,ukute mtu unaumia kumbe manzi nae anaumia anasuburi uzungushe dishi vizuri ili uweze catch vyema signals za mtofoto.
Alexander The Great
Subiri niandae notes, ntakutumia pdf sio muda.
Kwani kuna mtu kasema hajui kutongoza hapa..? Sema mda mwingine kwa jinsi mlolongo wa mambo ulivyo inakubidi kamsaada kidogo ili mambo yakae vizuri zaidi..