Msaada hapa, namalizaje mchezo?

Msaada hapa, namalizaje mchezo?

Mamtu mengine mnachelewa nini Sasa we subiri papa mopao aje kusema ana lockdown country ndo utajua unachelewa au vipi kenge wewe
 
Watu wazima huwa hatuombi mchezo,nakupa mualiko ukifika kwangu au lodge,tutaongea baadaye utashangaa romance,kuja kushtuka ulishapata vitatu
 
Jana usiku baada tu ya kumaliza kupost thread hapa JF na kupata mitazamo ya wadau. Mda si mrefu nilimvutia waya mtoto.. Nashukuru kikao nilikitawala na Shombe la Kisomali huwa sikosegi
 
Mipira iliyokufa,,kitonga na bado unashindwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom