Msaada hapa kwenye tv

Msaada hapa kwenye tv

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,421
Nimenunua star x tv lakini nikiunga redio hailii bass, inalia speaker za pembeni tu, nimeangalia kwenye setting za tv nikakuta trebble na bass ziko blinked yaani hazioneshi kufanya kazi

Mwenye anajua nafanyaje msaada tafadhali
IMG_20200911_103344.jpg
 
Kwanza nenda kwenye instruction manual ya tv uangalie maelekezo ya jinsi ya ku connect audio system(hasa subwoofer) kwenye tv yako. Kisha fuata na maelekezo.
 
Nimeshasoma mkuu, sehemu ya kuconnect audio system ni hiyo ya earphone
 
Ports zake hizo hapo, zote ni inputs isipokuwa hiyo earphone ndo "audio output" tuView attachment 1566635
Chengine mkuu waya wako unaochomekea kwenye headphone una pin 2 au 3 ama 4? Maana nyengine zinakuwa na ground na Audio tu, ila nyengine zina specify right na left na ground na video/microphone.

Kama yako ni mono (pin 2) hilo nalo ni tatizo.
Mini-Jack-3.5-mm-2-Pole-3-Pole-4-Pole-orhu5fda2axwz0jzwj6vgn2q0m2hhfr5o327jtn6vo.jpg
 
Hizi Star X kwenye Audio ya nje ni Ovyo sana, hatai nilikuwaga nayo moja. Ilikuwa haitoi mkito mzuri hadi nikaamua kuibadilisha tu.
 
Ni huo wa TRS
 
Yaan ndg hata mi nimekwazika sana, itabidi niuze kwa hasara ili nitafute aina nyingine ya screen
 
Back
Top Bottom