Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia


Mkuu Mkwawa nakushukuru sana nimewapigia HP wamesema niirudishe tu wata ship iyo umenipa details yake ndani ya 4 working days to my address. jama wanajua biashara hasa na nimead only 159usd weka na usafiri mpk home

aisee safi sana UBARIKIWE SANA MKWAWA Nitakupa mrejesho. Nime attach Picha ya hiyo PC hapo chini kama itafunguka.
 

Attachments

  • HP ALL IN ONE.jpg
    16.3 KB · Views: 71
Oyo wakubwa nina bajeti ya tsh 600000 nafikiria kupata desktop ya i7 2600@ 3.4 kwa ajili ya games. Naombeni ushauri.
 
Ok, nitacheki basi kwa wale wahindi wa Capricon.
nenda jamhuri na mosque kuna mhindi ana kaduka kadogo tu anazo cpu, machine yako inaingia cpu za sandy bridge na ivy bridge hivyo hadi i7 3770 itaingia.
 
Core i5 - HP Elitebook 840
Item: Laptop
Brand/Model: HP Elitebook 840
Processors: Core i5 - 2.14GHz
Harddisk: 500GB and 4gb ram
Mkuu mkwawa hii inafaa kwa game
 
Core i5 - HP Elitebook 840
Item: Laptop
Brand/Model: HP Elitebook 840
Processors: Core i5 - 2.14GHz
Harddisk: 500GB and 4gb ram
Mkuu mkwawa hii inafaa kwa game

hio cpu kama wamequote vibaya hivi nikisearch zinakuja result za kitanzania tu. na kuna possibilty kubwa ni 1st gen ambayo haifai kwa games.
 
Napita tu kujikumbushia mambo hapa, niko kwenye process za PC building
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…