Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

ongeza kidogo chukua hii hapa
http://www.amazon.com/HP-Flagship-T...&qid=1452275039&sr=8-4&keywords=hp+all+in+one

chukua hio juu sababu
-processor yake ni i7 na ina core 4 na thread 8 compare na i5 ya juu yenye core 2 tu. perfomance ya hii i7 ni kama mara 2 ya hio i5
-gpu yake pia ni nzuri zaidi radeon r7 260x, ina nguvu kama mara 5 hivi compare na nvidia 830m
-ram 16gb compare na 12gb

pia hii ni flagship pc yao kwenye all in one hivyo kila kitu ni top notch kuanzia webcam (full hd), real sense camera, nk ina discount ya dola 600 hivyo huwenda ikapanda bei baadae.

Mkuu Mkwawa nakushukuru sana nimewapigia HP wamesema niirudishe tu wata ship iyo umenipa details yake ndani ya 4 working days to my address. jama wanajua biashara hasa na nimead only 159usd weka na usafiri mpk home

aisee safi sana UBARIKIWE SANA MKWAWA Nitakupa mrejesho. Nime attach Picha ya hiyo PC hapo chini kama itafunguka.
 

Attachments

  • HP ALL IN ONE.jpg
    HP ALL IN ONE.jpg
    16.3 KB · Views: 69
Oyo wakubwa nina bajeti ya tsh 600000 nafikiria kupata desktop ya i7 2600@ 3.4 kwa ajili ya games. Naombeni ushauri.
 
Core i5 - HP Elitebook 840
Item: Laptop
Brand/Model: HP Elitebook 840
Processors: Core i5 - 2.14GHz
Harddisk: 500GB and 4gb ram
Mkuu mkwawa hii inafaa kwa game
 
Core i5 - HP Elitebook 840
Item: Laptop
Brand/Model: HP Elitebook 840
Processors: Core i5 - 2.14GHz
Harddisk: 500GB and 4gb ram
Mkuu mkwawa hii inafaa kwa game

hio cpu kama wamequote vibaya hivi nikisearch zinakuja result za kitanzania tu. na kuna possibilty kubwa ni 1st gen ambayo haifai kwa games.
 
Napita tu kujikumbushia mambo hapa, niko kwenye process za PC building
 
Back
Top Bottom