Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

Sawa ahsante sana kk.
Ila vp nkitafuta PlayStation 4 hata fat itakuwa poa ,Ila hofu yangu mwisho wa kutoa games za PS4 ni lini maana now ziko PS5
2022 hakuna pes 22 kuna Efootball tu ambayo ni kama game la simu tu. Pes 2018 low setting nafkiri itapiga kazi.

Mi natumia PC desktop.
Desktop yako inasukuma kila heavy games ? Na unanishaur ntafute aina gan ya mashine
 
Sawa ahsante sana kk.
Ila vp nkitafuta PlayStation 4 hata fat itakuwa poa ,Ila hofu yangu mwisho wa kutoa games za PS4 ni lini maana now ziko PS5
Tafuta ambayo inachakachulika udownload games mwenyewe offline, hata support ikiisha utaendelea kutumia.

Alternative kama una internet nzuri nunua Xbox series X then jiunge Xbox Gamepass, kihalali ni 25,000 kwa mwezi, na Account za mtaani as cheap as 2500 kwa miezi 3. Unapata zaidi ya Game 100 bure ikiwemo pes.
 
Desktop yako inasukuma kila heavy games ? Na unanishaur ntafute aina gan ya mashine
Desktop nyingi mkuu zina nguvu zamani tulikuwa tunaweka tu Gpu inakuwa gaming pc. Yangu nilitumia kama laki 5 tu.

Ila siku hizi gpu zina bei ndefu sana, sababu ya hawa wachimba Bitcoin.
 
Ni shs ngap Xbox Series x na used shs ngap pamoja na mpya , kwa nn Xbox na sio PLAYSTATION
Tafuta ambayo inachakachulika udownload games mwenyewe offline, hata support ikiisha utaendelea kutumia.

Alternative kama una internet nzuri nunua Xbox series X then jiunge Xbox Gamepass, kihalali ni 25,000 kwa mwezi, na Account za mtaani as cheap as 2500 kwa miezi 3. Unapata zaidi ya Game 100 bure ikiwemo pes.

Tafuta ambayo inachakachulika udownload games mwenyewe offline, hata support ikiisha utaendelea kutumia.

Alternative kama una internet nzuri nunua Xbox series X then jiunge Xbox Gamepass, kihalali ni 25,000 kwa mwezi, na Account za mtaani as cheap as 2500 kwa miezi 3. Unapata zaidi ya Game 100 bure ikiwemo pes.
 
Ni shs ngap Xbox Series x na used shs ngap pamoja na mpya , kwa nn Xbox na sio PLAYSTATION
Sababu Playstation hawana Huduma kama Gamepass as of now, sema kuna huduma kama hio toka kwao inakuja, ngoja tuone itakua na games nyingi na nzuri kama Xbox.

Pia Series S ni rahisi bei $300 na kwenye sale unaipata chini ya hapo, tofauti na ps5 ambayo kuipata ni kazi na bei ndefu. Na kama umacheza games kwa 720p ama 1080p inacheza bila shida.
 
Sawa nmeelewa Ila mie mpenzi wa PlayStation ,
Nina FOOTBALL HANDHELD 15 mwenye simu Ila Lina fake names naomba unisaidie nfanyeje lier na real names nmedownload oceansofapk
 
Inakuwa hivyo ukidownload crack mkuu, kama una simu nzuri yenye kioo kikubwa ama Tablet download Football manager touch, ni version kama Ya pc kimtindo fulani
Screenshot_20220421-010526.png

Ina real player names
Screenshot_20220421-010613.png

Utaipata platinmods
 
mkuu naomba utusaidie specification za desktop utakayocheza game zote.
Desktop yoyote mpya iliotoka miaka ya karibuni na Gpu ya miaka ya karibuni inacheza games zote.

Core i3/i5/i7 gen ya 12, ama Ryzen mpya 5000 ama 6000 series.

Gpu za Nvidia Rtx series ama Amd xt 6000 series.

But it will cost you, mamilioni ya Hela.
 
thanx mkuu. nitakuwekea specification ya ambayo nataka kuichukua ili kaniambie kama itaweza
 
niuliza pia mahitaji yanayotakiwa ili nijifunze kuweka game kwenye ps 2, 3, 4 na Xbox.
maana nataka ninue nyingine na niweke games mwenyewe
 
Back
Top Bottom