Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

thanx mkuu. nitakuwekea specification ya ambayo nataka kuichukua ili kaniambie kama itaweza

niuliza pia mahitaji yanayotakiwa ili nijifunze kuweka game kwenye ps 2, 3, 4 na Xbox.
maana nataka ninue nyingine na niweke games mwenyewe
Ili uweke games kawaida inabidi uchakachue,
1. Kwa ps 2 na 3 zinachakachulika na 4 baadhi ya version,
2. Kwa Xbox 360 inachakachulika ila one na series X hazichakachuliki.

Ukishachakachua una sideload tu rom, rom zinapatikana online.

Pia zipo Njia halali kote Xbox na Ps unasubscribe kama Netflix kwa mwezi unalipa around 20k mpaka 30k unapata Games zaidi ya 100 unacheza.

Hizo subscription zipo pia za magumashi sometime hadi dola 1 kwa miezi 3.
 
mkuu me naomba niwe mwanafuzi wako unifundishe hadi niwe expert kabisa kwenye hizi mambo. nipo tayari kulipa ada. naomba utaratibu maana me layman kwenye hivi vitu
 
Ili uweke games kawaida inabidi uchakachue,
1. Kwa ps 2 na 3 zinachakachulika na 4 baadhi ya version,
2. Kwa Xbox 360 inachakachulika ila one na series X hazichakachuliki.

Ukishachakachua una sideload tu rom, rom zinapatikana online.

Pia zipo Njia halali kote Xbox na Ps unasubscribe kama Netflix kwa mwezi unalipa around 20k mpaka 30k unapata Games zaidi ya 100 unacheza.

Hizo subscription zipo pia za magumashi sometime hadi dola 1 kwa miezi 3.
kwahiyo ukilipia kwa mwezi. pia mwezi ukiisha zinajifunga mpaka ulipe tena sio?
 
nimeuliza requirements za kuniwezesha kuingiza game kwenye ps
Ukishachakachua Console yoyote ile kunakuwa na software ya kusideload hizo games, hivyo fahamu tutorial ya kuchakachua Automatic utajua namna ya kusideload. Si kazi ngumu mara nyingi ni click 2 ama 3 tu.

Kuna website inaitwa wololo utapata Habari zote na firmware husika za hizo console.
 
mkuu ni kweli nahitaji internet ya router kudownload game za kuweka kwenye console? au hata bando la simu inatosha?
 
Internet ni internet tu, haijalishi ipoje.

Wanaposema unahitaji internet ya Router wanatumia standard zao za ulaya/Marekani.

Marekani mobile data ni ghali sana hivyo wanatumia internet za Majumbani kudownload mafile makubwa.

Kama una GB za kutosha hata simu wawezw tumia.
 
Mkuu naomba unijuze website za kupata game za ps 4. Kama utaweza unipe link mkuu
 
Waweza ila hizo gb si kitoto mkuu kama speed ya mawazo itaoshia njiani.

Tumia adm kwa stability
Chief hiyo ni Fujitsu Esprimo D756, hiyo price inaridhisha kwa hizo Specs??
Screenshot_20220618-100657_Instagram~4.jpg
 
AMD A8-7410APU with AMD Radeon R5 Gfaphics 2.20GH.
Mkuu naweza cheza mortal kombati, god of war gta... Kwenye hii machine?
 
AMD A8-7410APU with AMD Radeon R5 Gfaphics 2.20GH
Wakuu naweza cheza mortal combat gta, god of war n.k kwenye hii machine?
 
Haiwezi mkuu, Gta v unaweza cheza ila God of war haitaweza. Kama unanunua Amd tafuta ryzen, hizi za zamani hazina nguvu.
 
Back
Top Bottom