Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
Nzuri kiasi chake mkuu matumizi yote ya kawaida na hata gaming inafanya kiasi chake. Inategemea na wewe unategemea uifanyie nini.Hii vipi Kiongozi, inafaa?View attachment 1098913View attachment 1098914
Matumizi ya kawaida mkuu na ni 2nd hand, vipi una kadiria bei ya chini kabisa iwe ngapi?Nzuri kiasi chake mkuu matumizi yote ya kawaida na hata gaming inafanya kiasi chake. Inategemea na wewe unategemea uifanyie nini.
Matumizi yote ya kawaida itafanya na bei around milioni 1 ni fair inaweza zidi kidogo ama kupungua kidogo.Matumizi ya kawaida mkuu na ni 2nd hand, vipi una kadiria bei ya chini kabisa iwe ngapi?
Naitaka hii
Chief hapa unairate vp hii machineMatumizi yote ya kawaida itafanya na bei around milioni 1 ni fair inaweza zidi kidogo ama kupungua kidogo.
Nzuri mkuu itasukuma mambo mengi sema ram za ddr4 ni adimu hapa kwetu na ukizipata bei ndefu kuongeza hio 4gb itakuwa ngumu.Chief hapa unairate vp hii machine
Intel (R) core (TM) i5-7200u CPU @2.50 GHz (4cpus) ~ 2.7Ghz
Memory 4GB
Graphic intel (R) HD Graphic 620
Jamaa yangu ameichukua kwa 1.6 milNzuri mkuu itasukuma mambo mengi sema ram za ddr4 ni adimu hapa kwetu na ukizipata bei ndefu kuongeza hio 4gb itakuwa ngumu.
Pia angalia na bei kama sio tofauti sana na 8th gen ni bora kununua 8 maana zina double core. I5 ya 8th gen kwenye series hio ina core 4 na thread 8.
Na pia i5 7200 ni cpu moja yenye core 2 na thread 4 na sio 4 cpu kama ilivyoandikwa hapo.
1.6m ni bora angenunua 8th gen mwambie kama kuna option ya kubadili akachukue 8th gen, itakaa miaka mingi sana sababu sidhani kwa kipindi cha karibuni wataongeza core.Jamaa yangu ameichukua kwa 1.6 mil
Ok nimekuelewa1.6m ni bora angenunua 8th gen mwambie kama kuna option ya kubadili akachukue 8th gen, itakaa miaka mingi sana sababu sidhani kwa kipindi cha karibuni wataongeza core.
Pia hio bei inaweza kuwa sio mbaya kama itakuwa na extra features kama vile
1. Kioo cha quality nzuri kama Full HD na kuendelea.
2. Iwe ni ultrabook yenye umbo jembamba sana na nyepesi.
3. Storage za ssd
4. Ukaaji chaji mkubwa.
Ila kama ni hizi laptop za kawaida hio bei inatia ukakasi.
Mkuu vipi kuhusiana na pc yenye specs hizi kwenye gamming1.6m ni bora angenunua 8th gen mwambie kama kuna option ya kubadili akachukue 8th gen, itakaa miaka mingi sana sababu sidhani kwa kipindi cha karibuni wataongeza core.
Pia hio bei inaweza kuwa sio mbaya kama itakuwa na extra features kama vile
1. Kioo cha quality nzuri kama Full HD na kuendelea.
2. Iwe ni ultrabook yenye umbo jembamba sana na nyepesi.
3. Storage za ssd
4. Ukaaji chaji mkubwa.
Ila kama ni hizi laptop za kawaida hio bei inatia ukakasi.
Mkuu inategemea na bei, kama unaipata around 1m ama kushuka sio mbaya ila ikizidi kukaribia 1.5m ni vyema ukatafuta 8th gen na gpu ya ukweli kama Nvidia 1050ti.Mkuu vipi kuhusiana na pc yenye specs hizi kwenye gamming
-HP elitebook.
-intel(R) core(TM) i7-7500u cpu @ 2.7GHz 2.9GHz.
-8 GB ram.
-1 TB Storage.
-64 Bits.
-na ina graphic card ya Amd Radeon 530 ,4GB.
Mkuu inategemea na bei, kama unaipata around 1m ama kushuka sio mbaya ila ikizidi kukaribia 1.5m ni vyema ukatafuta 8th gen na gpu ya ukweli kama Nvidia 1050ti.
Kwenye hizi cpu za u utofauti wa i5 na i7 ni mdogo sana kwenye perfomance. Na i5 ya gen ya mbele inakuwa na nguvu kushinda i7 ya gen ya nyuma. Mfano i5 za 8th gen zina nguvu almost mara mbili ya i7 ya 7th gen. Hivyo kama unapata i5 8th gen kwa same price ni bora uchukue.
Ndio inawezekana mkuu. Kuna games nyepesi ambazo zinacheza kwenye machine nyingi inategemea tu na wewe ni mpenzi wa games gani.Chief nina mashine yangu
HP EliteBook
Intel(R) Core(TM) i7-2620M @2.70GHz
Matumizi yangu ni kucheki movie, kula ngoma na ku_browse(nabetia).
Sasa nataka nianze kucheza gem. Vipi ntaweza? Na hii mashine yangu!
Vp na FIFA 22 pamoja na GTA V zitacheza kwl ? Vp kuhusu heavy gamestumlack kama unashindwa kupata laptop yenye dedicated graphics kwa budget yako tafuta yenye hd4600 kama gpu inayokuja na processor
Laptop yoyote yenye
-i3 40xxm
-i3 41xxm
-i5 42xxm
-i5 43xxm
-i7 46xxm
-i7 47xxqm
-i7 47xxhq
Utapata graphics hio na cpu yenye nguvu, then ukicheza games unaweka low settings kwenye quality ya graphics. Utacheza game lol
Hio comment ya zamani hizo cpu haziwezi cheza fifa 2022 unless uwe na dedicated Graphics.Vp na FIFA 22 pamoja na GTA V zitacheza kwl ? Vp kuhusu heavy games
Itacheza FIFA ya mwakan ganHio comment ya zamani hizo cpu haziwezi cheza fifa 2022 unless uwe na dedicated Graphics.
Maybe Fifa17. Last time nacheza fifa kwenye hd 4600 wakishangilia goal wanakuwa hawana vichwa.Itacheza FIFA ya mwakan gan
Ok sawa now unatumia console au PC kucheza games , na PES 2018 au PES 22 itasukuma kwl ?Maybe Fifa17. Last time nacheza fifa kwenye hd 4600 wakishangilia goal wanakuwa hawana vichwa.
2022 hakuna pes 22 kuna Efootball tu ambayo ni kama game la simu tu. Pes 2018 low setting nafkiri itapiga kazi.Ok sawa now unatumia console au PC kucheza games , na PES 2018 au PES 22 itasukuma kwl ?
Sawa ahsante sana kk.2022 hakuna pes 22 kuna Efootball tu ambayo ni kama game la simu tu. Pes 2018 low setting nafkiri itapiga kazi.
Mi natumia PC desktop.