Msaada Hali mbaya najiona kwenda kupata fedheha kwenye Ndoa

Oct 11, 2022
10
9
Habari za Alasir ndugu wa jamii forum kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu naombeni msaada wa mawazo ama kama kuna mtu anaweza tatua tatizo langu itakua vyema na mwenyezi Mungu amjalie in shaa Allah

Mimi ni kijana wa miaka 29 binafsi nasumbuliwa na tatizo la kushindwa kusimamisha dhakari kwa uzuri takriban mwezi wa 2 yani kiukweli hili jambo linaninyima amani na hata nahisi saikolojia yangu Imeanza kuharibika kwakweli maana jaman acheni utani mwanaume mashine na linalonifanya niwaze zaidi ni kwamba kuna binti nilimchumbia na tunatarajia kufunga ndoa mwezi December sasa najiuliza na hii hali yangu itakuaje huko kwenye ndoa jaman

Wakuu naombeni msaada wenu kama kuna mtu ambae alishawahi pambana na hii kadhia na akafanikiwa kutoka na kupona bhas a nieleze alifanya nini ama kama kuna doctor wa uhakika anaemfahamu yupo vizuri kuhusu aya mambo tafadhali aniunganishe nae maana kiukweli hii hali inaniogopesha haswa

kuhusu punyeto yes niliwahi kua muhanga wa ilo jambo mwisho zaidi natanguliza shukran na natarajia majibu mazuri kutoka kwenu yenye kujenga

Hapa ni mahali ambapo nimeanza napo maana naamini kuna mtu wa kila aina ambae anaweza Changi tafadhari kama hutawiwa kuchangia epusha kejeri

Ahsantee
 
tumia kwa kuchemsha mizizi ya mdizi,kunywa kutwa mara tatu,,.

au

Mizizi ya mkunde pori,chemsha kunywa kutwa mara tatu.

Hii mjarabu sana-tafuta uume wa fisi kausha ponda uwe unga then tumia kijiko kimoja weka kweny chai au maji, kunywa asubuh na jion(hii ukiipata kwisha hilo tatizo ila ni ngumu sana kupata)
 
Habari za Alasir ndugu wa jamii forum kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu naombeni msaada wa mawazo ama kama kuna mtu anaweza tatua tatizo langu itakua vyema na mwenyezi Mungu amjalie in shaa Allah

Mimi ni kijana wa miaka 29 binafsi nasumbuliwa na tatizo la kushindwa kusimamisha dhakari kwa uzuri takriban mwezi wa 2 yani kiukweli hili jambo linaninyima amani na hata nahisi saikolojia yangu Imeanza kuharibika kwakweli maana jaman acheni utani mwanaume mashine na linalonifanya niwaze zaidi ni kwamba kuna binti nilimchumbia na tunatarajia kufunga ndoa mwezi December sasa najiuliza na hii hali yangu itakuaje huko kwenye ndoa jaman

Wakuu naombeni msaada wenu kama kuna mtu ambae alishawahi pambana na hii kadhia na akafanikiwa kutoka na kupona bhas a nieleze alifanya nini ama kama kuna doctor wa uhakika anaemfahamu yupo vizuri kuhusu aya mambo tafadhali aniunganishe nae maana kiukweli hii hali inaniogopesha haswa

Hapa ni mahali ambapo nimeanza napo maana naamini kuna mtu wa kila aina ambae anaweza Changi tafadhari kama hutawiwa kuchangia epusha kejeri

Ahsantee
Inatakiwa upate instant healing. Kuna tiba ya kung'atwa na nyuki, unaenda kwa wataalam wa tiba hiyo , kuna misuli fulani ya uumeni hugongwa na nyuki, hapohapo tatizo lako linaisha
 
Kama unahela za kutosha nenda aghakani watakata uo uume watakupandikizie mwingne upya kwa kutumia sterm cells ambao utakuwa uko active yaan utakuwa kama ndo unaanza mwanzo ila kama hauna pesa bas jaribu kutumia kinguu swaumu na asali wiki 1 afu inayofat unatumia kitunguu swaumu na tangawizi kisha unaanza wiki ya kwanza tena unakuja ya 2 lkn ltika sku zote hzo piah kumbuka kutumia ndizi mbivu na asali lijiko ki1 asubuh na jion ukimaliza dozi ya miez mi3 njoo hapa unilipe hela yangu ya kukupa tiba bure✍🙏🤝 NB acha kabisa kufanya mapenzi na mikono yako STOP IT.
 
tumia kwa kuchemsha mizizi ya mdizi,kunywa kutwa mara tatu,,.

au

Mizizi ya mkunde pori,chemsha kunywa kutwa mara tatu.

Hii mjarabu sana-tafuta uume wa fisi kausha ponda uwe unga then tumia kijiko kimoja weka kweny chai au maji, kunywa asubuh na jion(hii ukiipata kwisha hilo tatizo ila ni ngumu sana kupata)
Uume wa fisi tena
Sasa hapo si mganga wa kienyeji inabidi ahusike au?
 
Habari za Alasir ndugu wa jamii forum kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu naombeni msaada wa mawazo ama kama kuna mtu anaweza tatua tatizo langu itakua vyema na mwenyezi Mungu amjalie in shaa Allah

Mimi ni kijana wa miaka 29 binafsi nasumbuliwa na tatizo la kushindwa kusimamisha dhakari kwa uzuri takriban mwezi wa 2 yani kiukweli hili jambo linaninyima amani na hata nahisi saikolojia yangu Imeanza kuharibika kwakweli maana jaman acheni utani mwanaume mashine na linalonifanya niwaze zaidi ni kwamba kuna binti nilimchumbia na tunatarajia kufunga ndoa mwezi December sasa najiuliza na hii hali yangu itakuaje huko kwenye ndoa jaman

Wakuu naombeni msaada wenu kama kuna mtu ambae alishawahi pambana na hii kadhia na akafanikiwa kutoka na kupona bhas a nieleze alifanya nini ama kama kuna doctor wa uhakika anaemfahamu yupo vizuri kuhusu aya mambo tafadhali aniunganishe nae maana kiukweli hii hali inaniogopesha haswa

Hapa ni mahali ambapo nimeanza napo maana naamini kuna mtu wa kila aina ambae anaweza Changi tafadhari kama hutawiwa kuchangia epusha kejeri

Ahsantee
Kama upo dar nitafte
 
Mimi nina maswali..
ilianzaje anzaje?

  1. Ghafla au taratibu?
  2. Kipind hicho ulikua kwenye mahusiano?​
  3. Kuna stress ulipata kupitia pale ulipokutana na mwenza wako?
  4. Stress za kimaisha; yaan nyingine ksma pesa, migogoro?
  5. Una hali yoyote ya kutokujiamini?
 
Pole mkuu. Hiki kitu kuna 2 issues, either psychological, au ni health wise. Sasa kila kimoja kina how to fix it lkn mara nyingi watu wengi wanashindwa kwa sababu ya papara
Apime sukari yake, ata kama anajiona ki afya yupo ok: na iwapo atagundulika ana sukari atumie dawa za asili ambazo zipo nyingi mno
 
Pole sana mkuu nimewahi pata hili tatizo karibia miaka 2 na sababu ilikua punyeto.

Niliponaje?

Psychological nilichukulia kama tatizo la mpito hata engine ikichemsha uwa inapumzishwa.

Wakati uo nilianza dozi ya kutafuna punje mlonge na kunywa maji mengi pia nilianza mazoezi ya kukimbia na kuchezacheza mpira.

Kitu cha kwanza nilishuka sana uzito kutoka kilo 70+ hadi sitini pia nilijiweka busy sana na nilijiweka mbali na mambo ya mahusiano.

Muda ulivyozidi kupita nikaanza kua nadinda kama kawa naamka mashine imesimama japo sio kikakamavu ila nikaona matokeo kadri siku zilivyozidi kupita.

Madada poa ndo ulikua uwanja wangu wa majaribio nikawa sawa ilinisaidia kua fit Psychological mpka leo niko fiti sikiwahi tumia dawa yeyote tofauti na mlonge na vitunguu swaumu.

Sa hivi mi ni miongoni mwa watu wanaopelekea moto wanawake hatari .
 
Labda kale kamchezo ulikoacha kamekuathiri. Labda mjaribishe jogoo kwa "njoi" mg 50, uangalie kama atawika kwa sauti kubwa.
 
Pole mkuu wala usiwe na hofu saaaana kias ukajimaliza zaidi
Chukua vitunguu saumu ,tangawizi mbich saga pamoja alafu chukua na asali mbichi changanya vizuri lkn hakikisha asali inakuwa mara 2 ya huo mchanganyiko yaan kama umesaga vjko 20 bas asali iwe vjko 40 tumia kulamba vjko v3 kutwa ×3 ndani ya wik 3 alafu majbu ukiamua ubaki nayo au uyarudishe kwa wadau ,
 
Ahsante kaka nashukuru kwa ushauri mwenyez Mungu akufanyie wepesi na akulipe sawa na ushauri wako
 
Back
Top Bottom