Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,351
- 13,882
Azuma iko poa sana, ila ni vizuri uende hospital

Ceftriaxone ni nzuri sana lbd kama ukumaliza dose yyte kati ya hizo ulizopewaNi mwezi mmoja umepita Sasa tangu nikutwe na gonorrhea, nimetumia dozi mbali mbali lakini ugonjwa huiponi.
Dawa nilizo tumia ni 1. Azuma na metronidazole, baada ya wiki nikashauriwa kutumia azuma na kidonge flani kimoja sikikumbuki jina, 2.
Kuna dawa zinaitwa doxy na ciproflaxin nazo hazikusaidia kwa maana unaanza dozi baada ya siku 2 usaha unaanza Tena kutoka 3. Nlitumia dawa ya sindano 5 zinaitwa certriaxone angalau kidgo nilikaa wiki moja bila dalili.
Jana usiku dalili zmeanza Tena. Tangu niugue sijawahi kukutana na mwanamke yoyote.
Acha utani nenda kaonane na watu wakienyeji Hawa wamama inaisha bro wamtu alikuwa na Ile mbaya sana unatoa usaha na harufu hadi anakimbiwa nainamuwasha kila akioqta mkojo inauma kitoka analia sana akapona kabisa Sasa yupo tu.Ni mwezi mmoja umepita Sasa tangu nikutwe na gonorrhea, nimetumia dozi mbali mbali lakini ugonjwa huiponi.
Dawa nilizo tumia ni 1. Azuma na metronidazole, baada ya wiki nikashauriwa kutumia azuma na kidonge flani kimoja sikikumbuki jina, 2.
Kuna dawa zinaitwa doxy na ciproflaxin nazo hazikusaidia kwa maana unaanza dozi baada ya siku 2 usaha unaanza Tena kutoka 3. Nlitumia dawa ya sindano 5 zinaitwa certriaxone angalau kidgo nilikaa wiki moja bila dalili.
Jana usiku dalili zmeanza Tena. Tangu niugue sijawahi kukutana na mwanamke yoyote.
Hizi ndio gharama za kutomberna peku pekuPiga ile sindano inaitwa PANADUU..
nasikia inauma dunia nzima.ukipigwa hizo tako mbili hata kukaa hutaweza kwa siku 2
Usitumie dawa bila kupima. Nenda hospital inayoeleweka, ufanye kipimo cha culture and sensitivity. Wanaotesha wadudu wanatest na dawa tofautitofauti kuona ni ipi inaua hao wadudu ndiyo unaanza dozi.Ni mwezi mmoja umepita Sasa tangu nikutwe na gonorrhea, nimetumia dozi mbali mbali lakini ugonjwa huiponi.
Dawa nilizo tumia ni 1. Azuma na metronidazole, baada ya wiki nikashauriwa kutumia azuma na kidonge flani kimoja sikikumbuki jina, 2.
Kuna dawa zinaitwa doxy na ciproflaxin nazo hazikusaidia kwa maana unaanza dozi baada ya siku 2 usaha unaanza Tena kutoka 3. Nlitumia dawa ya sindano 5 zinaitwa certriaxone angalau kidgo nilikaa wiki moja bila dalili.
Jana usiku dalili zmeanza Tena. Tangu niugue sijawahi kukutana na mwanamke yoyote.
Usiende kwenye dawa za kienyeji. Nenda hospital.Acha utani nenda kaonane na watu wakienyeji Hawa wamama inaisha bro wamtu alikuwa na Ile mbaya sana unatoa usaha na harufu hadi anakimbiwa nainamuwasha kila akioqta mkojo inauma kitoka analia sana akapona kabisa Sasa yupo tu.
Ila Vaa kondom haya yote yasingekukuta hiyo ni ngono zembeee
Mtoa mada ana hali mbaya sana, hakuna matumaini kutoka kwa wachangiaji 😅😅Hell Yeah, izo papuchi nawaachia kina Mr Mose
Pole sana mzee piga dose hiyo lazima uponeNi mwezi mmoja umepita Sasa tangu nikutwe na gonorrhea, nimetumia dozi mbali mbali lakini ugonjwa huiponi.
Dawa nilizo tumia ni 1. Azuma na metronidazole, baada ya wiki nikashauriwa kutumia azuma na kidonge flani kimoja sikikumbuki jina, 2.
Kuna dawa zinaitwa doxy na ciproflaxin nazo hazikusaidia kwa maana unaanza dozi baada ya siku 2 usaha unaanza Tena kutoka 3. Nlitumia dawa ya sindano 5 zinaitwa certriaxone angalau kidgo nilikaa wiki moja bila dalili.
Jana usiku dalili zmeanza Tena. Tangu niugue sijawahi kukutana na mwanamke yoyote.
nje ya madaPole sana mzee piga dose hiyo lazima upone
Cefixime 400mg start
Azithromycin 1g start
Doxycycline 100mg bd 5/7
Vivian tbs 1 tds 3/7
Vivian ndo dawa gani mkuuPole sana mzee piga dose hiyo lazima upone
Cefixime 400mg start
Azithromycin 1g start
Doxycycline 100mg bd 5/7
Vivian tbs 1 tds 3/7
Hizo ni paracetamol tuVivian ndo dawa gani mkuu
Watu wanaona aibu.Naomba tusaidiane hapa, hivi kwanini watu wengi wanaumwa magonjwa serious kabisa na hawataki kwenda hospitali wananunua dawa kwenye maduka ya mtaani?
mademu watatu tu kapata gono je wale 72 wa mbinguni si atadedi😂😂😂😂😂😂Mtoa mada ana hali mbaya sana, hakuna matumaini kutoka kwa wachangiaji 😅😅
IbuprofenVivian ndo dawa gani mkuu
Umenikumbusha kuna jamaa zangu nafanya nao kazi,wakisikia kesho watu wa afya watakuja kwa ajili ya kupimwa UKIMWI huwa hawaji kabisa kazini...leo ni tarehe 1/12/2022, twendeni tukapime vvu.
kupima ni buree hutoi hata shilingi.
ushauri nasaha bureee.