Msaada: Gono isiyopona kikamilifu

Msaada: Gono isiyopona kikamilifu

Nenda kwa daktaro wa mifugo hasa wa mbwa ndio wa dawa Chanzo cha huu ugonjwa ni mbwa. UTAKUJA KUNISHUKURU.
 
Ni mwezi mmoja umepita Sasa tangu nikutwe na gonorrhea, nimetumia dozi mbalimbali lakini ugonjwa huiponi.

Dawa nilizo tumia ni 1. Azuma na metronidazole, baada ya wiki nikashauriwa kutumia azuma na kidonge flani kimoja sikikumbuki jina, 2.

Kuna dawa zinaitwa doxy na ciproflaxin nazo hazikusaidia kwa maana unaanza dozi baada ya siku 2 usaha unaanza Tena kutoka 3. Nlitumia dawa ya sindano 5 zinaitwa certriaxone angalau kidogo nilikaa wiki moja bila dalili.

Jana usiku dalili zmeanza Tena. Tangu niugue sijawahi kukutana na mwanamke yoyote.
Achana nazo maana zitaendelea kukuletea sumu

Soma nakala hii kishanifanyie kazi.

Kama unaumwa ugonjwa wowote na umetumia dawa za hospitalini au miti shamba au virutubisho tiba na hujapona bado kuna tumaini.

Ukiona umepita kote huko na iinakua heri ya jana ujue tatizo haliko kwa dawa ulizotumia.

Tatizo lipo kwako mwenyewe. Ndani ya mwlii wako kuna kitu kinaitwa seli shina. Kazi ya hizo seli ni kuuwezesha mwili ujitibu wenyewe au kusaidia dawa unazotumia ili zikutibu.

Endapo hizi seli zako zikiwa zimekufa au kupoteza uwezo inakua ngumu sana kupona au kutibika kwa dawa yyte ile.

Kwa hio kitu ambacho wataalamu na madaktari wa uswis waligundua miaka ya hivi karibuni ni kumrudishia mgonjwa seli zake na kurekebisha zile zilizoharibika kwa matumizi ya stemcell therapy.

Seli za mwili huweza kuharibika kwa sababu nyingi. Umri mkubwa, maradhi mbalimbali, matumizi holela ya dawa, sumu ya vyakula tunavyakula maji na vinywaji, kutokuwa na tabia ya kufanya mazoezi, kuzalia n.k.

Stemcell therapy ni seli shina za mwili, zilizochakatwa kisayansi kutoka kwenye mimea na matunda yenye seli zinazofanana na za mwandamu.

Mgonjwa akitumia seli hizi kwa mzunguko wa siku 21 au 42 na 63. Zinauwezesha mwili kurudisha uwezo wake wa kiasili ambao utamsaidia kuondoa maradhi yote ndani na kuoambana na aina yyte ya magonjwa sugu. Hivyo kumsaodoa mgonjwa kupona kwa wepesi hata akitumia dawa dhaifu.

Stemcells therapy inahusika moja kwa moja au kwa kutumia dawa za kawaida kutibu zaidi ya magonjwa 200 yakiwepo haya kwenye picha.

Kwa maelezo zaidi mpigie dkt Ben Soy wa kitengo cha utafito na tiba SUA 0719794789 au 0699254400.
 
Ni mwezi mmoja umepita Sasa tangu nikutwe na gonorrhea, nimetumia dozi mbalimbali lakini ugonjwa huiponi.

Dawa nilizo tumia ni 1. Azuma na metronidazole, baada ya wiki nikashauriwa kutumia azuma na kidonge flani kimoja sikikumbuki jina, 2.

Kuna dawa zinaitwa doxy na ciproflaxin nazo hazikusaidia kwa maana unaanza dozi baada ya siku 2 usaha unaanza Tena kutoka 3. Nlitumia dawa ya sindano 5 zinaitwa certriaxone angalau kidogo nilikaa wiki moja bila dalili.

Jana usiku dalili zmeanza Tena. Tangu niugue sijawahi kukutana na mwanamke yoyote.
pole mzee, nenda maabara kubwa wakufanyie kipimo cha culture cha hyo discharge unayotoa kisha mpelekee docta majibu yako, akupe dawa stahiki ya wadudu walioonekana huko.
 
Mkuu gono ni noma yani ukilipata mwezi mbona mdogo. Fua nguo zote za ndani usirudie boksa zaidi ya siku moja. Fua vizuri shuka zako za kulalia. Maana unakuta umetumia dawa imefanya kazi imeua vidudu lakini uchafu wenye vidudu upo kwenye boksa apo unaivaa boksa chafu lazma warudi. Achana na wanawake kama miezi 2 kabisa, tumia dozi kama daktari alovokuelekeza, zingatia usafi na mwisho pia tumia tiba asili.
 
Back
Top Bottom