Msaada: Gono isiyopona kikamilifu

Mr Mose

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
368
524
Ni mwezi mmoja umepita Sasa tangu nikutwe na gonorrhea, nimetumia dozi mbalimbali lakini ugonjwa huiponi.

Dawa nilizo tumia ni 1. Azuma na metronidazole, baada ya wiki nikashauriwa kutumia azuma na kidonge flani kimoja sikikumbuki jina, 2.

Kuna dawa zinaitwa doxy na ciproflaxin nazo hazikusaidia kwa maana unaanza dozi baada ya siku 2 usaha unaanza Tena kutoka 3. Nlitumia dawa ya sindano 5 zinaitwa certriaxone angalau kidogo nilikaa wiki moja bila dalili.

Jana usiku dalili zmeanza Tena. Tangu niugue sijawahi kukutana na mwanamke yoyote.
 
Ona sasa starehe ya dakika chacha inakutesa miezi

una bahati hujaukwaa ule wa kumeza vidonge maisha yako yote.

Dunia imebadilika sana, hizi simu na miamala ni ngumu sana kukuta binti ana mtu moja, Namba anaombwa asubuhi, muamala anatumiwa mchana, jioni anatoa mzigo.... kesho yake na mwengine nae anapangwa.
 
Uzinzi noma sana, bora dronedrake ameamua kua mwanachama hai wa CHAPUTA maana haina Gono

Ushauri: Tumia mizizi, tafuta wazee wa kale watakuelekeza dawa za asili zinazotibu hilo tatizo au fika hospital muone daktari bingwa wa hayo magonjwa ya zinaa, kuna ndugu yangu kitombi nae aliwahi kuukwaa ulimtesa sana akaja akapona ila ukiwa kitombile always utakua kitombile Jamaa hadi kesho ni kitombile aliambukizwagwa hadi tetekuwanga akawa ana malengelenge mwili mzima alafu ni mweupe sasa alivyokua mwekundu, baada ya kupona akaendeleza mchakato wanamuita FISI
 
nikiona nyuzi kama hizi, hua nacheka chini-chini

hawa ndiyo wa kwanza kusema 'ukipiga nyeto unamaliza nguvu za kiume' ooh 'mara hutadindisha'

najibu kimoyoni 'nguvu za kiume za nini wakati una Gono/UTI/Ngoma ?'
 
nikiona nyuzi kama hizi, hua nacheka chini-chini

hawa ndiyo wa kwanza kusema 'ukipiga nyeto unamaliza nguvu za kiume' ooh 'mara hutadindisha'

najibu kimoyoni 'za kiume za nini wakati una Gono/UTI/Ngoma ?'
Yaan ukiwaza kuhusu mateso ya Gono na Ngwegwe unatafuta Futa lako la Nazi au Mzaituni, unamtafuta yule manzi mwenye mitako ya haja kule insta unamzoom kisha unajilipua taratiiibu wazungu hawa hapa, nani afe kizembezembe huku anajiona wakati utamu anao mwenyewe?
 
gonoria ni dalili kubwa ya maambukizi ya virusi vya ukimwi.
tafadhali kesho njoo hospitali upime na upate ushauri nasaa.

vijana kwa wasichana acheni ngono mtakwisha na kudhoofika kwa maradhi.
starehe ya dk.5 au 10 utajutia maisha yako yote.
 
Back
Top Bottom