Uzinzi noma sana, bora
dronedrake ameamua kua mwanachama hai wa CHAPUTA maana haina Gono
Ushauri: Tumia mizizi, tafuta wazee wa kale watakuelekeza dawa za asili zinazotibu hilo tatizo au fika hospital muone daktari bingwa wa hayo magonjwa ya zinaa, kuna ndugu yangu kitombi nae aliwahi kuukwaa ulimtesa sana akaja akapona ila ukiwa kitombile always utakua kitombile Jamaa hadi kesho ni kitombile aliambukizwagwa hadi tetekuwanga akawa ana malengelenge mwili mzima alafu ni mweupe sasa alivyokua mwekundu, baada ya kupona akaendeleza mchakato wanamuita
FISI