Msaada: Gono isiyopona kikamilifu

Msaada: Gono isiyopona kikamilifu

gonoria ni dalili kubwa ya maambukizi ya virusi vya ukimwi.
tafadhali kesho njoo hospitali upime na upate ushauri nasaa.

vijana kwa wasichana acheni ngono mtakwisha na kudhoofika kwa maradhi.
starehe ya dk.5 au 10 utajutia maisha yako yote.
Acha watu wale maisha wewe! Unafikiri ni ukimwi tu ndiyo unaoua!!
 
Ni mwezi mmoja umepita Sasa tangu nikutwe na gonorrhea, nimetumia dozi mbali mbali lakini ugonjwa huiponi.

Dawa nilizo tumia ni 1. Azuma na metronidazole, baada ya wiki nikashauriwa kutumia azuma na kidonge flani kimoja sikikumbuki jina, 2.

Kuna dawa zinaitwa doxy na ciproflaxin nazo hazikusaidia kwa maana unaanza dozi baada ya siku 2 usaha unaanza Tena kutoka 3. Nlitumia dawa ya sindano 5 zinaitwa certriaxone angalau kidgo nilikaa wiki moja bila dalili.

Jana usiku dalili zmeanza Tena. Tangu niugue sijawahi kukutana na mwanamke yoyote.
Uko mkoa gani?
 
Nlimjulisha pia, kwa Sasa najihangaikia kivyangu
Utapona tu.Dawa zikidunda watakuchoma ceftriaxone injection. Ila ndo uache kabisa ngono zembe. Ukipata mwanamke mpime wote magonjwa yote ya ngono,baada ya hapo muwe waaminifu wote wawili. Mshukuru Mungu Gono ina dawa,imagine ingekuwa HIV au hepatite B.
 
Au ukachomwe sindano moja inaitwa simba wa teranga, hiyo unachomwa puani gono yote kwisha ni masaa tu
 
Ni mwezi mmoja umepita Sasa tangu nikutwe na gonorrhea, nimetumia dozi mbali mbali lakini ugonjwa huiponi.

Dawa nilizo tumia ni 1. Azuma na metronidazole, baada ya wiki nikashauriwa kutumia azuma na kidonge flani kimoja sikikumbuki jina, 2.

Kuna dawa zinaitwa doxy na ciproflaxin nazo hazikusaidia kwa maana unaanza dozi baada ya siku 2 usaha unaanza Tena kutoka 3. Nlitumia dawa ya sindano 5 zinaitwa certriaxone angalau kidgo nilikaa wiki moja bila dalili.

Jana usiku dalili zmeanza Tena. Tangu niugue sijawahi kukutana na mwanamke yoyote.
Ila vijana wa jf😂😂😂 , mwingine kule kashindwa kuingiza huku napo gono haiponi duuu😂😂😂😂
 
kuna kipindi nilikuwa na UTI hospitali moja private wakaniambi nichome sindano kwa siku 4 bei niliambiwa 100,0000 nikagoma wakanipa vidonge fulani hv vikubwa vipo kwenye mfuko wa silver 35,000
Sasa kuna mtu akaniambia kuna vidonge vya Azuma na bei haizidi 3000na inatibu vizuri UTI. Sasa wataalamu nisaidie hii imekaaje utofauti wa bei na ufanisi wa kutibu ?
 
Azuma iko poa sana, ila ni vizuri uende hospital
 
Back
Top Bottom