Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

Asante da charty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama ulisababisha akafeli nadhani hata hiyo biashara itafeli.. muhimu badilika wewe kwanza
 
Mnasababishia watoto wa wenzenu matatizo halafu mnakuja kuomba msaada,kwanini hukujali hisia zake mapema kapata matatizo ndo unatafuta msaada!
 
ningekua mimi ndio wewe na umekiri kuwa we ndo sababu ya huyo bibie kudisco,basi zawadi pekee ya kumpa huyo binti ili kumfariji ningefanya mpango nimuoe kabla huu mwezi haujaisha then mengine baadae.
afu we nae mpaka karne hii bado unadate na vianafunzi tu?
 
cha kufanya muulize kwanza anataka kufanya biashara gani ndo uumpe mtaji
 
kama ni CoET mwaka wa pili umekaza kimtindo hutakiwi kujilaumu mkuu, kuliwa kichwa mwaka wa pili ni kama wema kupimwa mkojo tu
Mkuu second year nasikia moto unawaka. ...kama department ya MIE ndo nasikia balaa tupu

Nokia ya Torch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…