Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
790
Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamini anaweza na pia ana asili ya kichaga nataka nimpe mtaji aanzishe biashara.

Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.

Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu.

Niwatakie jioni njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila mchaga afunguliwe duka. Mwambie aje na plan na mchanganuo wa biashara umpe mtaji. Ndio mkome kujitia wababe kwa wapenzi wenu.

Ha ha ha ha ha. Duh!!!mean while nae hana akili,ana disco kisa stress za mwanaume atiii mkorofi!!!!chaaaa!!!wonders can never end. Au unacho cha dhahabu kaka??
 
Shukrani maserati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamin anaweza na pia ana asili ya kichaga
Nataka nimpe mtaji aanzishe biashara
Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.

Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu
Niwatakie jioni njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
We boya bill gates, mark , steve job hawakudisco waliacha chuo kwenda kupiga mishe zao ambazo ndio zimewatoa sasa huyo wako aliyedisco chuo atadisco hadi biashara
 
Fanya hivi chukua simu mpigie aje ghetto,

Akija mwanangu mpige mashine sikiliza mzaza we mpige mashine,

Hakikisha unamtembezea ukuni mpka aseme eee hapa nina mwanaume,

Halafu ndo uwe mtindo wenu daily.
 
All blames on you,wewe ulikuwa unampa dushe badala ya kumpa material!...............damn!
 
Back
Top Bottom