Lady Ra
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 886
- 1,010
Za weekend wandugu?
Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule. Upande wa chumba nitatoa choo pembeni, na upande wa Sebule nitatoa Jiko.
Sasa muongozo wenu naomba, fundi anatakiwa labda acheze kwenye kias gani ufundi labda? Just bei elekezi tu, yaweza kua +/- kias kidogo hapo. Ni ujenzi wa boma tu bila kupaua.
Saiti ni Sinza Uzuri, Dar es Salaam.