Msaada, Gharama za Ufundi, Chumba, Choo, Jiko na Sebule

Unajua kuna wakati ni ngumu kufanya makadirio sahh bila kujua design ya nyumba au chumba mteja atakacho mfano kina mtu anajenga kijumba Cha kuanzia maisha haweki Baraza mwingn anaweka Baraza mwingn haweki nguzo mwingn anaweka mwingn haweki zege la mkanda mwa chini mwingn anaweka mwingn hamwagi zege la blndng chini kulingana na ardhi au bajeti mwingn anamwaga haya ni mambo yanayoleta mabadiliko ya bei n.k
Wewe nyumba ya sie kajamba nani. Mie bodaboda sasa haya mambo ya mkanda sijui blinding nitayaweza wapi. Mie nataka tuu shemu ya kulala basi
 
Kama ni s ni chumba choo sebule mpk kupaua haitozid laki5 sabb utapaua normal slop tu ila Kam ni chumba na choo pekee inakuwa nusu yake ikiwa material umecollect yote
 
Jitahidi uwe mzuri kwenye kubargain

Hivi unajua fundi kutwa analipwa shilingi 30,000 hadi 25,000

Wakati mwingine hulipwa Kwa idadi ya tofali
Huo ni unyonyaji....jitahid ukiwa unamlipa fundi hata kama ni ww ndio umempa kazi basi vaa viatu vyake pia kwamba je ingekuwa ww ungeridhika au hiyo pesa angalau ingekufaa.
 
Inaonekana hujawahi kusimamia kazi za Ujenzi Mkuu

Mfano ukimuuzia kazi ya Ujenzi wa nyumba ya Vyumba 3 fundi Kwa shilingi 2,500,000

Basi ujue Mafundi wake atakaojenga nao atawalipa hizo 30,000 hadi 35,000 Kwa Siku
Wakati huo, saidia fundi atalipwa shilingi 10,000 Kwa Siku.

Hilo la kwamba nivae viatu vyake, naelewa

Lakini tunaishi kwenye Dunia ya Ubapali, muhimu mkikubaliana kwamba hiyo nyumba ya Vyumba 3 atajenga Kwa shilingi 2,500,000 basi inakuwa imeisha

Kama fundi ataona umepunja sana, si mtakaa na kubargain tena??
 
Mmh hii bei babu....bei ya serikali bila efd 😁
Hahaha............unatakiwa kubanana na Mafundi vizuri ili kuhakikisha hela ya Mkopo uliyokopa kujenga kibanda cha kuishi inatosha kumalizia hicho kibanda na wewe kuhamia 🤗

Otherwise utajikuta umekopa milioni 30 zako, na nyumba haijaisha 😜

Njoo nikufundishe namna ya kubargain Mjukuu, si unajua Babu yenu nimezeeka sasa 😜
 
Mmmhhh,
Hizi bei zipo kweli? Unae fundi hapa Dar wa hizi bei?
Mafundi wapo, tembelea site za Ujenzi utakutana nao

Ila hakikisha una Mafundi zaidi ya wawili ili kuweza kushindanisha bei

Njia nzuri ni kuwasikiliza wao (kupitia quotations) kisha unawaambia bajeti yako.

Ukishawapa bajeti yako, waambie wakatafakari kisha kesho wakupigie simu.

Kuna Mafundi wanatembea na vitendea kazi (Mwiko,Mkono Bao, futi kamba n.k) watembea kwenye site wakitafuta kazi

Maamuzi ni yako, nyumba ya milioni 1 ujenge Kwa milioni 3 ama ujenge Kwa milioni 1.3
 
Chumba na sebule na choo hyo..ramani yake siwezi ituma hapaa
20210930_203013.jpg
 
Inaonekana hujawahi kusimamia kazi za Ujenzi Mkuu

Mfano ukimuuzia kazi ya Ujenzi wa nyumba ya Vyumba 3 fundi Kwa shilingi 2,500,000

Basi ujue Mafundi wake atakaojenga nao atawalipa hizo 30,000 hadi 35,000 Kwa Siku
Wakati huo, saidia fundi atalipwa shilingi 10,000 Kwa Siku.

Hilo la kwamba nivae viatu vyake, naelewa

Lakini tunaishi kwenye Dunia ya Ubapali, muhimu mkikubaliana kwamba hiyo nyumba ya Vyumba 3 atajenga Kwa shilingi 2,500,000 basi inakuwa imeisha

Kama fundi ataona umepunja sana, si mtakaa na kubargain tena??
Inawezekana umewahi simamia ujenzi lakini mlolongo wa ujenzi kwamba kwann unampa fln kazi Bado hujaujua sasa unamleta fundi akujengee nyumba umlipe kama anavyolipwa na fundi mwenzake kwa hyo wewe utakuwa boss na injinia wake mkuu kwenye kazi unapompa mtu jukumu la KUKUJENGEA yeyr ndie msimamizi wa jengo lako lisijengwe kiholela pia kama hela ni pungufu mtaongea lkn sio unamleta umlipe malipo ya siku kesho akipata kaz nyingn akaamkia kwingn utamlaumu?? Si ulimleta kupiga day waka???
 
Umesema sahihi Mkuu, japo binafsi nilijaribu kuonesha ni namna gani ya kufanya ili kupunguza gharama za Ujenzi.
 
Za weekend wandugu?

Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule. Upande wa chumba nitatoa choo pembeni, na upande wa Sebule nitatoa Jiko.

Sasa muongozo wenu naomba, fundi anatakiwa labda acheze kwenye kias gani ufundi labda? Just bei elekezi tu, yaweza kua +/- kias kidogo hapo. Ni ujenzi wa boma tu bila kupaua.

Saiti ni Sinza Uzuri, Dar es Salaam.
Laki 6 Pesa za ufundi....Material na mengine tukifika site 0789005562
 
Za weekend wandugu?

Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule. Upande wa chumba nitatoa choo pembeni, na upande wa Sebule nitatoa Jiko.

Sasa muongozo wenu naomba, fundi anatakiwa labda acheze kwenye kias gani ufundi labda? Just bei elekezi tu, yaweza kua +/- kias kidogo hapo. Ni ujenzi wa boma tu bila kupaua.

Saiti ni Sinza Uzuri, Dar es Salaam.
Weka ramani nikukadirie
 
Back
Top Bottom