baest
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 273
- 171
Ndugu wanajamvi, Wasaam.
nimekuja hapa kuomba mchanganuo wa gharama za kusoma CPA na ACCA kwa hapa tanzania. ninafahamu kuwa inategemea na tution centers. ila kwa mimi ninachoomba ni upande wa registrations na kulipia mitihani. pia ninafahau ACCA ina gharama, ila nataka kujua kwa kiasi gani ili niweze kujipanga kwa mwezi july kuanza.
Natanguliza shukrani zangu za dhati, ingependeza mtu akanijibu hapa hapa badala ya PM kwa wengine kupata taarife, who knows, maybe someone else out there is in need of this too