Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,490
- 2,730
Aiseee!!! I didn't know!!! Enzi zetu huduma zote zilikuwa ni bure mpaka kujifungua ulitakiwa uende na vifaa tu!!! Anyway, it is years ago!!!Usilipe wewe kama nani😀
Zile habari za "Matibabu ni Bure kwa Wajawazito na Watoto" huwa changamsha genge tu.
Kipindi gani icho inawezekana mambo yasgabqdilikaNenda Sinza Palestina Hospital, ukianza clinic kuna program utakuwa unafatiliwa na nesi kila mwezi kukumbushwa kipindi fulani walikuwa wanatoa nauli kwa Mama mjamzito kila akienda
Uko mkoa gani?Wengine wanasema 30 wengine 50 sijui nitoe lipi naomba kwa anayejua hospital ambayo clinic haivuki elfu 30 anambie mimi 50 sina kwakweli wakina mama nisaidie hospital ya bei nafuu
Hii mimba yako ya ngapi?Gharama za kuanza clinic kwa mjamzito ni sh ngapi na nkienda bila mwenza ntapokelewa?
NB mwenza wangu alienda Congo hajrudi huu mwezi wa 5😭
Kipindi mnapeana mimba hukulijua hilo?Dah gharama kubwa sana ntazimudu kweli
Unadhani wote humu wanakaa sehemu moja?Wengine wanasema 30 wengine 50 sijui nitoe lipi naomba kwa anayejua hospital ambayo clinic haivuki elfu 30 anambie mimi 50 sina kwakweli wakina mama nisaidie hospital ya bei nafuu
Napambana
Kama una ratiba ya kuja wiki hii chamazi nitakusaidia ila ukichelewa nasafiri naenda mtwara&lindi.Napambana tu mwenyewe sina namna
Nipo pwani=dsm vikinduUnadhani wote humu wanakaa sehemu moja?
Sema unaishi mkoa upi, sehemu gani ili upewe muongozo kulingana na sehemu uliyopo.
Asante mkuu hospital gani nije keshoKama una ratiba ya kuja wiki hii chamazi nitakusaidia ila ukichelewa nasafiri naenda mtwara&lindi.
AsanteKila la kheri
Mmm Subiri kwanzaNipo tayari kujitolea kwenda na wewe clinic ili manesi wasikuseme sana
Unamanisha nnMadhara ya kutukataa sisi wafupi, sisi weupe ambao tunamapenzi ya dhati na kung'ang'ania wanaume weusi warefu ndo haya
SawaKwa kweli binti maisha bongo ni magumu sana, cha kukushauri uwe makini tu nao hao watu, maana siyo kukubambikia bill tu isiyo na kichwa, wanaweza kukubambikia hadi mimba nyingine ukajifungua mapacha...
Huduma ya clinic kwa wajawazito ni bure. Gharama labda ni nauli yako tu ya kukufikisha kwenye hicho kituo cha afya na kukurejesha unakoishi. Na ikitokea ukapigwa sana basi kulipia elfu 5 tu ya kadi (hii ni pesa ya manesi) ambayo manesi watakuambia wakupe kopi ya kadi, au uchangie kidogo upewe kadi halisi.Gharama za kuanza clinic kwa mjamzito ni sh ngapi kwa dar na nkienda bila mwenza ntapokelewa?
NB mwenza wangu alienda Congo hajrudi huu mwezi wa 5😭