Msaada gharama za kuanza clinic

Msaada gharama za kuanza clinic

Wengine wanasema 30 wengine 50 sijui nitoe lipi naomba kwa anayejua hospital ambayo clinic haivuki elfu 30 anambie mimi 50 sina kwakweli wakina mama nisaidie hospital ya bei nafuu
Gharama inategemea, wewe unaishi wapi? nenda kitu cha afya cha serikali kilicho jirani na makazi yako.
Ukifika waelezee situation yako na pesa uliyonayo na kwamba umekuja kuanza clinic.

Watakusaidia kibinadamu, ikishindikana, omba kuonana na mganga incharge wa kituo umuelezee shida yao!
 
Ntajaribu kufanya ivo
 
Wengine wanasema 30 wengine 50 sijui nitoe lipi naomba kwa anayejua hospital ambayo clinic haivuki elfu 30 anambie mimi 50 sina kwakweli wakina mama nisaidie hospital ya bei nafuu
Njoo chamazi~mbagala na elfu 40 hata bila mwenza watakusaidia tu ila waambie tu mwenzangu yupo nje ya nchi atachelewa kurudi.Hiyo elfu 40 shilingi elfu kumi kwa ajili ya utra sound,hela nyingine kipimo cha damu(HB) pia watakupima na homa ya ini sasa hivi ni lazima upime homa ya ini kwa mama wajawazito wote ukianza tu clinic na baada ya hapo kila mwezi ukienda clinic uwe na elfu kumi kwa ajili ya shilingi elfu sita watakwambia ulipie kipimo cha damu(HB).Karibu sana
 
Gharama za kuanza clinic kwa mjamzito ni sh ngapi na nkienda bila mwenza ntapokelewa?

NB mwenza wangu alienda Congo hajrudi huu mwezi wa 5😭
Gharama zinatofautiana kutoka hospitali moja na nyingine. Ila kwa kujilinda tuu angalau uwe na 50000 maana kuna vipimo vingi vya kupima. Kuhusu kwenda na mwenzi wako ndio ni lazima ila kama hayupo unawaeleza hali halisi watakuelewa tuu.
Nakutakia safari njema ya kuleta ndugu yetu duniani.
 
Sawa ngoja nipambane
 
Inategemea upo mkoa gani , mfano hapa dar kituo cha afya ni kati 50, hadi elfu 70.
Mimi ilinigarimu 70,000

Dispensary garama zina pungua ila kuna vipimo muhimu vinahitajika ambavyo ndio gharama kama Alta sound nk.

Hata hivyo miezi mitano umechelewa kidogo jitahidi uwahi kwa kweli .
Hongera pia na ujaliwe kujifungua salama.
 
Njoo chamazi~mbagala na elfu 40 hata bila mwenza watakusaidia tu ila waambie tu mwenzangu yupo nje ya nchi atachelewa kurudi.Hiyo elfu 40 shilingi elfu kumi kwa ajili ya utra sound,hela nyingine kipimo cha damu(HB) pia watakupima na homa ya ini sasa hivi ni lazima upime homa ya ini kwa mama wajawazito wote ukianza tu clinic na baada ya hapo kila mwezi ukienda clinic uwe na elfu kumi kwa ajili ya shilingi elfu sita watakwambia ulipie kipimo cha damu(HB).Karibu sana
Kumbe kuna 10k ya kila mwezi? Basi mambo yanabadilika kila mwaka aisee
 
Njoo chamazi~mbagala na elfu 40 hata bila mwenza watakusaidia tu ila waambie tu mwenzangu yupo nje ya nchi atachelewa kurudi.Hiyo elfu 40 shilingi elfu kumi kwa ajili ya utra sound,hela nyingine kipimo cha damu(HB) pia watakupima na homa ya ini sasa hivi ni lazima upime homa ya ini kwa mama wajawazito wote ukianza tu clinic na baada ya hapo kila mwezi ukienda clinic uwe na elfu kumi kwa ajili ya shilingi elfu sita watakwambia ulipie kipimo cha damu(HB).Karibu sana
Bado ni nyingi ila ntajitahidi
 
Inategemea upo mkoa gani , mfano hapa dar kituo cha afya ni kati 50, hadi elfu 70.
Mimi ilinigarimu 70,000

Dispensary garama zina pungua ila kuna vipimo muhimu vinahitajika ambavyo ndio gharama kama Alta sound nk.

Hata hivyo miezi mitano umechelewa kidogo jitahidi uwahi kwa kweli .
Hongera pia na ujaliwe kujifungua salama.
Ee mungu
 
Back
Top Bottom