Msaada: Gharama hadi kufanikiwa kupata fremu Kariakoo

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,748
Vp Wanajamii,

Hizi frem za K.koo lazima ujipinde kweli ili kuweza kuipata.

Kwa wale wenye ufahamu juu ishu ya vilemba naomba mtujuze. Je vina cheza kwa bei gani, kwa mfano kwa frem zinazo face bara bara, zile kwenye corner..turatajie kujipinda hadi M ngapi..

Karibuni.
 
Kuna mtu aliwah kuniambia zinacheza kwenye milion kwa mwez, bt siko sure sn tusubr wajuzi wa mambo
Ina depend..nasikia kuna za 1m, 2m, 1.5m 5lk, 8lk, etc....ila kuna ishu inaitwa kilemba ..ile unayompa alietangulia kwa fremu akuachie chumba..ndio nayoulizia
 
Back
Top Bottom