GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 454
Habari za kwenu,katika mihangaiko ya hapa na pale,Mungu kanijalia kupata gari.lakini kuna tatizo limeanza jitokeza ambapo ukiwa katika mlima kuupanda inatembelea spidi 40 na hapo umekanyaga mafuta hadi mwisho.naombeni mwenye ufahamu na tatizo hilo anisaidie.
Gari ni auto,na ni suzuki escudo.mlima wa kawaida tu kama wa airport dar kuelekea magereza(ukonga).nakanyaga hadi spidi ya mwisho mafuta lakini spidi ni 40 tena kwa shida sana.ni petrol
Gari ni auto,na ni suzuki escudo.mlima wa kawaida tu kama wa airport dar kuelekea magereza(ukonga).nakanyaga hadi spidi ya mwisho mafuta lakini spidi ni 40 tena kwa shida sana.ni petrol