Heshima yenu wakuu.
Natumia Firefox katika kuingia mtandaoni lakini tangu Fonts naona zimekuwa ndogo sana kiasi kwamba nashindwa kusoma. Naomba msaada wa kuongeza font size kutoka kwa yeyote mwenye ufahamu.
Asanteni.
usisumbuke mkuu
bonyeza ctr na + kwa wakati mmoja kuongeza fonts size na kama unataka kupunguza bonyeza ctr na -kwa wakati mmoja.
Leta feedback mkuu kama tatizo litakuwa solved au la