Msaada: Exporting unga wa sembe to UK

Msaada: Exporting unga wa sembe to UK

Mi mwenyewe napendaga biashara za kuexport
Sasa nikawa na fatilia duuhh nje nao wanamasharti
- mfano mchele wanataka useme umecontain kiasi gan Cha maji
Quality
Aina
Sijui vinini...yaan hatari
Hii pia ni changamoto, wenzetu wanataka ubora sana, kuna mdau kule ni ndugu ndiyo ananipa details vitu kama hivyo, nini cha kuboresha nini kinahitajika, ikifaa na ukaweza awamu tatu kusafirisha aisehh utatengeza pesa nzuri sana, hujakosea mkuu wenzetu wana base sana kwenye quality, huku africa ita damp place tunapokeaga tu mavitu toka mabara mengine bila kuzingatia hilo ndiyo maana Japan wameteka soko la magari africa magari used tena mengine yanakuaga yana ubovu...
 
Mi mwenyewe napendaga biashara za kuexport
Sasa nikawa na fatilia duuhh nje nao wanamasharti
- mfano mchele wanataka useme umecontain kiasi gan Cha maji
Quality
Aina
Sijui vinini...yaan hatari
Unatamani ku export why not usijaribu mkuu nini kinakwamisha kwa upande wako
 
Unachosema ni sawa ila kama walivyosema wadau kuwa huko mwanzo kuwa nchi za wenzetu wapo makini sana hasa kwenye suala la vyakula, kwa hiyo inabidi ufahamu vitu vingi katika bidhaa unayohitaji kupeleka ikiwemo labda mbolea zilizotumika kukuzia hayo mahindi na mambo kadha wa kadha, je itaweza kuwa rahisi Kupima bidhaa yako ambayo utaichukua kwa wakulima tofauti ambapo kila mkulima amelima anavyojua yeye...?

Coz kwa mtu kama MO natumai anaweza kuwa na mitambo mingi inayoweza kufanya hivyo, kwa hilo umejiandaaje mkuu...?
Ni kweli kuna boss, nitafanyia kazi ushauri wako naweza kufanya mazungumzo na bakhresa nitaanda project proposal nionane tunaweza fanya kitu na nione mimi pia itanilipa kiasi gani,

Shida moja ni hii

Naweza kuwacheki bakhresa wakakataa ushirika wetu na idea yangu nikaondoka wakaanza kuifanyia kazi dah waAfrica tuna roho ngumu sana,
 
Ndio hivyo kiongozi cha msingi ni kuangalia kwanza unaweza kuchukua mzigo wa kiasi gani kwa SSB akakufanyia discount, pia uka-check bei ya kule kwa kilo itakuwa bei gani uone kama itaweza kukulipa kwa kiasi gani kutokana na bei utakayochukulia kiwandani.

Then kama utapata faida ambayo unaona baada ya muda flani utafika sehemu flani sio mbaya ukaanza mdogo mdogo then watu wakishazoea unaweza ukawa umepiga hatua kiasi flani ukapanua WIGO by the time utafika sehemu utaweza kusimama wewe kama wewe kiongozi.

Si unajua tena kina cha maji hakipimwi kwa miguu miwili kaka inabidi uchungulie kwanza kwa mguu mmoja chief.
 
Ni kweli kuna boss, nitafanyia kazi ushauri wako naweza kufanya mazungumzo na bakhresa nitaanda project proposal nionane tunaweza fanya kitu na nione mimi pia itanilipa kiasi gani,

Shida moja ni hii

Naweza kuwacheki bakhresa wakakataa ushirika wetu na idea yangu nikaondoka wakaanza kuifanyia kazi dah waAfrica tuna roho ngumu sana,
Mkuu bado hujafanikisha hii issue kwani utupe ABC zake? Maana longtemps uliulizia
 
Je export ya organic vegetables liko vipi maana wenzetu kenya naona wana documentaries wakiexport mbogamboga kwa ndege ndani ya masaa 24 baada ya kuvuna.
 
Mkuu,
Sio ninataka kukutisha tamaa. Jaribu kufanya utafiti wa hali ya juu bila miheuko(Sina uhakika na spelling).

1) Angalia wateja wako watakuwa kina nani?
2) Angalia idadi ya Watanzania sehemu usika?
3)Angalia wamekuwa wana spend kiasi gani kwenye bidhaa kama hiyo kwa mwezi?
4)Fanya utafiti kwa kuangalia wengine walio jaribu kwenye bidhaa kama konyagi na nyinginezo. Walikwamia wapi?
5) Usisahau kuipa uzito hulka ya mtu mweusi(Hii ni muhimu). Mfano, watu weusi ndio wanaongoza kwa kununua nywele bandia UK. Lakini wamiliki wa maduka ya hizo bidhaa sio weusi!
 
Sina uzoefu wa biashara hiyo ila kwa kuanzia, tembelea hizi link:
- Tovuti Kuu ya Serikali:

- Imports and exports

Na wasipoamua kujiondoa EU kesho, hii link inaweza kuwa muhimu pia
http://ec.europa.eu/food/safety/docs/ia_ic_guidance_import-requirements.pdf

Upepo wa UK kubaki au kujiondoa EU utabadilisha taratibu za biashara pia. Jaribu kufuatilia na ubalozi wa UK nchini. Vile vile ukiwasiliana na ubalozi wa Tanzania uliopo London, hizi ni taarifa ambazo wanapaswa kukupa pia.

Kila la kheri
Mkuu kuna hii nondo ulinipa imenisaidia sana,
 
Nicheki PM kuna mahal nimekwama noamba ufungue pm nikuulize kitu
 
Mkuu,
Kuna mambo mengi ya kuendelea kujiuliza na kufanya utafiti wa kutosha.
Mfano: Kuna kampuni/jamaa wanakuja nchini kutokea nje ya nchi na sanasana ni Wahindi, wanaweka kambi humu nchini na hasa mashambani huko, wananunua mazao kama Ufuta, Choroko, Mbaazi, Dengu na mazao mengine ya jamii ya Mikundekunde, wanapopeleka huwa hatupajui na hakuna anayejishughulisha kujua huwa wanayapeleka wapi, kwa kifupi hapa namaanisha MASOKO.
Kama bidhaa hizi zipo hapa nchini kwetu kwanini sisi tunaishia tu kuwauzia hawa wanaotulangua, ina maana sisi hatuwezi kupeleka huko wanapopeleka wao.
Hebu tufunguke vijana. Na kwa sasa nina imani na serikali tulonayo.
Nilijaribu kipindi fulani kufuatilia na nikakuta makampuni mengi ya exports ni ya wahindi na wachina. Wenzetu wanajua sana kuhonga kwa hawa maafisa wa taasisi na mamlaka za Tanzania na ndio maana ni rahisi kupata connection.

Ila nikagundua kuna kaugumu kakimfumo wanapitia watanzania wanapotaka kuanza biashara kubwa kama hizi. Kuanzia wanasiasa wetu na sera zao mbovu, maofisa wa taasisi na mamlaka zetu lakini zaidi kuwekewa upinzani na baadhi ya wafanya biashara wasiotaka kupata competition.

Pia taasisi za kifedha hazipo vizuri katika kutoa sapoti kwa maexporter wadogo ndio maana vijana wengi wanaishia kuota ndoto za mchana kweupe kwasababu hizi biashara zinataka mitaji ya kifedha mara nyingi kitu ambacho kijana wa kitanzania on average hata kuaccess milioni kupitia hizi taasisi wakati ana anza ni tatizo kweli kweli.

But naamini kwa kupitia kuelimishana kwenye platforms kama hivi tutaweza kupata ufumbuzi ili tushike nafasi zetu kama watoto halisi wa taifa mama Tanzania tukimbize huu uchumi.
 
Mimi sidhani kama kuna market ya unga wa sembe England,wazungu hawatumii hii kitu- South Africa wanapeleka sembe uk,trade name Iwisa,Azam nae anapeleka lakini naona ni quantity ndogo sana
Market ipo. Sembe inatumika kwenye mapichi mengi sana..... Sema tu Tanzania tunajua ni ya kusongea ugali na uji tu.

But ina matumizi mengi sana. Ngano pia.....
 
Market ipo. Sembe inatumika kwenye mapichi mengi sana..... Sema tu Tanzania tunajua ni ya kusongea ugali na uji tu.

But ina matumizi mengi sana. Ngano pia.....
Watu hawafanyi tafiti ndugu yangu, halafu wanazungumza negatively, pia hiyo dhana ya kuona sembe ni wa kupikia ugali tu au uji ni namna watu walivyo na mazoea tu, ila ni nafaka inayotumika sana na sio kwa uji tu au ugali
 
Back
Top Bottom