Msaada: Exporting unga wa sembe to UK

Msaada: Exporting unga wa sembe to UK

Am taking precautions mkuu
Ku export chakula uk,unahitajika kwanza huo unga upitishwe na bodi yao ya chakula,wajue unatengenezea kiwanda gani,kama ni mashine za kusaga za barabarani utapata tabu
Vinginevyo jaribu kuingiza kwa kiasi kidogo kidogo kama sample
 
Kabombe ehh upo juu, nashukuru kamanda
 
Nikweli na ndo maana tukakuadvice kwamba lazima vibali kutoka huko viwe genuine mistake kidogo tuu basi wanataifisha kila kilichokuwemo bila ya compensation na ukifata sheria zao basi rahisi tuu. Na ukifika hapa wanachukua mmoja ili kujua kama unafaa kwa matumizi ya binadamu lakini ukiweka info sawa basi wanapitisha tu lakini waridhike na maelezo yako.

Mkuu yupo sawa hapo juu.
 
Kuna jamaa alileta unga wa bakhresa UK Yaani ilikuwa container tu waliushambulia ukaisha haraka sana. Sasa sijui alizuiwa tena
 
Kuna jamaa alileta unga wa bakhresa UK Yaani ilikuwa container tu waliushambulia ukaisha haraka sana. Sasa sijui alizuiwa tena
My bro told me the same thing, sijaju ilikuwaje, na according to my bro ananiambia MO DEWJ nae analeta unga huko UK still demand is high na bado hautoshi, ninachokiona hapa Tanzania watu wengi hawana capital to finance huu mradi ila faida ni kubwa, nipo hapa nakusanya maoni ya wadau soon nitaanza mkuu
 
Kila la kheri katika mipango yako ngoja ntaongea na jamaa nimuulize kama ataweza kukupa njia all the best
 
Nasikia na mtama pia una demand kubwa sana UK, safari ya kuifanya hii business naianza muda sio mrefu, njtarudi kwaajili ya ushauri zaidi
 
Naifanya sahivi last time nilituma tu kwa watu wachache walioko kule kuona wapi pakuanzia ilihitaji hela kidogo kuweka kila kitu kuwa sawa, this time naifanya tena,

That's great kiongozi umeshakamilisha vibali na process nyingine au hujaanza chochote, au labda umefikia wapi may be...?
 
That's great kiongozi umeshakamilisha vibali na process nyingine au hujaanza chochote, au labda umefikia wapi may be...?
Last time nilikua natuma kwa ndugu na baadhi yao wateja niliowajua pitia ndugu hao hao, sema sikuweka sana jitihada kwa kuwa na kuhitajika kwa pesa kidogo, ila this time nataka nitafute na leseni kabisa, tho kuna vibali vingi vinahitajika,
 
Safi kiongozi inakuaje ukinunua let's say kwa Bakhresa magunia ambayo tayari kila kitu kazi yako iwe ku-export tu inakuaje...?

Kuliko kutafuta mahindi, uyatayarishe, uanze ku-pack, bado vibali vya TBS na TFDA kwa sababu hawakutambui, ila kwa Bakhresa inakuwa imeshapitia hizo process zote, hili unalionaje kiongozi wangu...?

Tuna-share mawazo mkuu. Thanks.
 
Ni ushauri mzuri sema hapo sasa utakua kama wakala wa bakhresa, mnyororo wa thamani utakua hujaongeza kitu kwako au kipato kitakua cha kawaida sana, lakini ukifanya mwenyewe ukatafuta mahindi shambani na hatua nyingine basi utatengeneza pesa zaidi, Modewj anapeleka unga huko lakini hautoshi,
 
Helow guys, habari za kwenu wadau

Rejea heading above, mimi binafsi nina PLANS za kusafirisha unga wa sembe nje ya nchi kupeleka UK, kwa kweli mimi ni mmoja kati ya wale wanaopata hamasa ya kufanya INTERNATIONAL TRADE na naamini ipo siku ndoto yangu itatimia,

Sasa rejea kwenye uzi ni hivi wadau mimi nimetamani kuanza kufanya hii biashara hasa baada kaka yangu ambaye yupo Middlesbrough UK kuniambia kuna demand kubwa ya unga wa sembe kule, na kaniambia inspite MO_DEWJI kuwa supplier wa unga kule bado demand is escalating, nikapata shauku kubwa,

Tatizo sijawahi fanya usafirishaji wa bidhaa nje ya nchi so experience kwangu bado, so nipo hapa kupata uzoefu uelewa please anisaidie na itawasaidia na wengine, mwenye kuwa na uzoefu hususani sheria za hapa nchini,

Ninaomba wadau ambao waliowahai kufanya hata wale ambao hawajawahi ila wana maoni mazuri kusafirisha bidhaa sio lazima bidha ya unga yoyote naomba msaada wanisaidie uzoefu, taratibu za nchi(sheria) , vibali nchini vinatolewaje, na je taasisi ya TBS wana vigezo gani, na ni vitu gani serikali wanaweka kama vikwazo na je vikwazo ni vya aina gani, mwenye makisio ya gharama kwa gunia moja wanatoza kiasi gani mamlaka na je nafanyaje to meet international standards(ISO), na je nahitaji kuwa na kampuni iliyosajiriwa?

Ahsanteni nawakilisha..
Mi mwenyewe napendaga biashara za kuexport
Sasa nikawa na fatilia duuhh nje nao wanamasharti
- mfano mchele wanataka useme umecontain kiasi gan Cha maji
Quality
Aina
Sijui vinini...yaan hatari
 
Ni ushauri mzuri sema hapo sasa utakua kama wakala wa bakhresa, mnyororo wa thamani utakua hujaongeza kitu kwako au kipato kitakua cha kawaida sana, lakini ukifanya mwenyewe ukatafuta mahindi shambani na hatua nyingine basi utatengeneza pesa zaidi, Modewj anapeleka unga huko lakini hautoshi,

Unachosema ni sawa ila kama walivyosema wadau kuwa huko mwanzo kuwa nchi za wenzetu wapo makini sana hasa kwenye suala la vyakula, kwa hiyo inabidi ufahamu vitu vingi katika bidhaa unayohitaji kupeleka ikiwemo labda mbolea zilizotumika kukuzia hayo mahindi na mambo kadha wa kadha, je itaweza kuwa rahisi Kupima bidhaa yako ambayo utaichukua kwa wakulima tofauti ambapo kila mkulima amelima anavyojua yeye...?

Coz kwa mtu kama MO natumai anaweza kuwa na mitambo mingi inayoweza kufanya hivyo, kwa hilo umejiandaaje mkuu...?
 
Back
Top Bottom