Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,878
- 47,725
Helow guys, habari za kwenu wadau
Rejea heading above, mimi binafsi nina PLANS za kusafirisha unga wa sembe nje ya nchi kupeleka UK, kwa kweli mimi ni mmoja kati ya wale wanaopata hamasa ya kufanya INTERNATIONAL TRADE na naamini ipo siku ndoto yangu itatimia,
Sasa rejea kwenye uzi ni hivi wadau mimi nimetamani kuanza kufanya hii biashara hasa baada kaka yangu ambaye yupo Middlesbrough UK kuniambia kuna demand kubwa ya unga wa sembe kule, na kaniambia inspite MO_DEWJI kuwa supplier wa unga kule bado demand is escalating, nikapata shauku kubwa,
Tatizo sijawahi fanya usafirishaji wa bidhaa nje ya nchi so experience kwangu bado, so nipo hapa kupata uzoefu uelewa please anisaidie na itawasaidia na wengine, mwenye kuwa na uzoefu hususani sheria za hapa nchini,
Ninaomba wadau ambao waliowahai kufanya hata wale ambao hawajawahi ila wana maoni mazuri kusafirisha bidhaa sio lazima bidha ya unga yoyote naomba msaada wanisaidie uzoefu, taratibu za nchi(sheria) , vibali nchini vinatolewaje, na je taasisi ya TBS wana vigezo gani, na ni vitu gani serikali wanaweka kama vikwazo na je vikwazo ni vya aina gani, mwenye makisio ya gharama kwa gunia moja wanatoza kiasi gani mamlaka na je nafanyaje to meet international standards(ISO), na je nahitaji kuwa na kampuni iliyosajiriwa?
Ahsanteni nawakilisha..