Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,198
- 11,631
Wanabodi natumia laptop Emachine E642 nilikuwa natatizo na keyboard ambapo baadhi ya keyboad zilikufa kabisa ilinibidi ninunue keyboard mpya kwa 90000/=
Nasikitika huu ni mwezi wa pili tu zimekufa tena sijui tatizo ni nini? naombeni ushauri wenu.
Nasikitika huu ni mwezi wa pili tu zimekufa tena sijui tatizo ni nini? naombeni ushauri wenu.