Msaada effect

Msaada effect

Abdul Bilal

Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
88
Reaction score
15
Habari wakuu
Ebana mm natumia sony vegas katika edit zangu, sasa kuna effect moja hivi naisaka sana.... ni ile ya kufanya watu au hata magari yawe yanaenda fasta kiasi ambacho unaona mataa tu kama yameungana.
Au kama ni watu basi wanakuwa fasta kama vikatuni.
Kama kuna mtu anajua namna au hata link ya kuweza kupata hiyo tutorial nitashukuru.
 

Attachments

Back
Top Bottom