Msaada DStv king'amuzi kuzimikazimika

Msaada DStv king'amuzi kuzimikazimika

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,665
Wakuu habari za mchana?
Wakuu nawaomba msaada wenu kuhusu king'amuzi cha DStv kuzimikazimika. Huwa inasababishwa na nini na je nifanyeje ili kisizimike?
Kuzimika kwake ni kama vile umeme umekatika nacho kinazimika lakini kiukweli umeme unakuwa haujazimika wala kucheza. Kinazimika chenyewe tu. Majibu niliyopewa nilipopiga customer care ya Multichoice hayakuniridhisha. Walisema eti yawezekana ni matatizo ya mawasiliano (transmission problems).
Naombeni msaada wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom