msaada domain

msaada domain

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
jamani haiwezekani kupata domain ya .tz? kama wenzetu wa .fr, .us, .ru, maana mie sipendi hii .co.tz, sio kila mtu anataka domain ana kampuni (i guess ndo maana .co baada ya .tz) nataka smthn simple km www.c6.tz
 
Hawatoi hiyo, kama ilivyo kwa co.uk, hakuna .uk (Ila kuna discussion za kuanzisha .uk).

Usichukulie kuwa .co.tz ni kampuni hata .com ni commercial ila inatumika kokote so hayo ni mambo ya kihistorial zaidi hayana umuhimu kwa matumizi ya kila siku.
 
waone hawa jamaa

Home - tzNIC

According na wikipedia wao ndio waliokua licenced kuzitoa hizo domain maybe unaweza pata yako ya upendeleo
 
yani kuna top level domains kama .tk, .co, sasa kutoa hii .tz haiwezekani?
 
waone hawa jamaa

Home - tzNIC

According na wikipedia wao ndio waliokua licenced kuzitoa hizo domain maybe unaweza pata yako ya upendeleo

is it possible? maana kuna domain weird kama .st (www.k.st, www.po.st) sasa jamani, kwani hawa tznic ndo wanaotengeneza extension, nani anaewapa ruhusa?
 
yani kuna top level domains kama .tk, .co, sasa kutoa hii .tz haiwezekani?

Sio kwamba technically haiwezekani ila haipo kwenye utaratibu kugawa top level domains kwa Tanzania, haya mambo yanachukua muda mrefu kukubaliana hizi organization zote so hauwezi kupewa tu.
 
Dah, C6. Unajua hata ikisha wezekana kupata .tz domains huwa inakuwa ngarama sana kupata domain ya herufi 2. Yaani wanazifanya special kiaina.

But hii issue ni tata kwa kuwa ICANN ndo wahusika waku, hawa TZNic wanalipa ICANN so ni gharama sana. But natumaini mbele wataweza kutoa hizo domains. (my point of view)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom