Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,365
- 8,631
Wakuu habari zenu, nasikitika sana kuona hali inavyo endelea jijini Dodoma, jana usiku nikajisogeza maeneo ya Chako ni Chako ili kuosha rungu, sijui imekuwaje, sijakuta waoshaji, nikaenda mitaa ya uhindini nikawakuta kama watano hivi ila sijaona subwoofer ikabidi niende maisha club, nako sijaambulia kitu... Kwanini jiji limepoa hivi jamani? Au kuna chimbo jipya? Nilitegemea msimu wa bunge jiji litakuwa moto sasa nini hii?