Msaada: Divison 3 Ya 15

Msaada: Divison 3 Ya 15

Kasomeni guidebook ya TCU vizuri muelewe.Msikae kumdanganye huyo jamaa na kumjaza matumaini hewa...!Bila D mbili hawezi ku join bachelor degree. Mnakwama wapi.mbona vitu vinajieleza...!
Usiwe.mbishl

Kuna watu wanasoma degree kwa Alama Kama hizo eboo!!
 
Wakuu Samahani,

Kama kichwa kinavyojieleza apo juu. Kuna chalii apa kapata div 3 ya 15 yani ana CEF vp anaweza pata chuo asome degree au aanzie diploma
anasoma fresh bila wasi wasi coz point 4 anazo tayari ila asiombe vyuo vyenye ushindani mkubwa aombe.tu.IFM, Mwalimu Nyerere, n.k
 
Soma kitabu cha TCU vizuri,ukielewe.Wastani wa chini wa kudahiliwa ngazi ya bachelor degree kwa kidato cha sita kufahuru masomo mawili kwa kupata D mbili zinzazo kupa point 4.Msingi wake ni kufahuru masomo kuanzia mawili.Ukipata mfano A,E ambayo ni point 6,bado huna sifa ya ku join bachelor degree kwa ninavyo elewa.Wanataka principal pass katika masomo mawili ukiondoa GS na somo la dini.principal pass inaanzia D,C,B,A.
Mkuu uelewa wako hauko sawa, kinacho angaliwa ni angalau uwe na point 4 kutoka masomo mawili (ambayo umefaulu kwa level ya principal i.e E and above). Kwa hiyo A na E ambayo ni point 6 kama ulivyoweka INAKUBALIKA nyingine ni DD, CE, na kuendelea.
 
Wanachohitaji ni principal pass mbili zenye point 4.0, D Mbili ni mfano wa upatikanaji wa point 4.0

Lkn pia principal passes ni A,B,C,D,E
 
Back
Top Bottom