Kyamtwala
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 257
- 163
Ndugu yangu una elimu kwa kiwango gani...!Hizi D mbili ni minimum...!Hapo wap wamesema lazima ziwe D mbili..???
Ndugu yangu una elimu kwa kiwango gani...!Hizi D mbili ni minimum...!Hapo wap wamesema lazima ziwe D mbili..???
Wakuu Samahani
Kama kichwa kinavyojieleza apo juu
Kuna chalii apa kapata div 3 ya 15 yani ana CEF vp anaweza pata chuo asome degree au aanzie diploma
Akiwa na DEE atakuwa na point 4 bado hajakidhi vigezoAnaweza kuwa na D na EE
Au DSS
Au DES
Omba Bachelor vyuo visivyokuwa na competition saanaDiploma
Hakuna cha maboresho,wewe ndiye mgumu wa kuelewa.usilishe watu matango hapa...!Nadhani umeona evidence yangu
Ambayo ni maboresho ya kitbu cha 2016 na 2018 pia
Sio kweliAkiwa na DEE atakuwa na point 4 bado hajakidhi vigezo
Akiwa na DSS atakiwa na point 3 hapo kabisa hana vigezo
Akiwa na DES atakuwa na point 3.5 bado hana vigezo.
Cjui ndugu yangu unakwama wapi...!
Vyuo vyote vipo chini ya TCU,cut points ni zilezile....!Omba Bachelor vyuo visivyokuwa na competition saana
....TEKU
.... MARIAN
.... MAKUMIRA
.... AMUCTA
.... NK
Ndugu kwani hujui au hutaki kusoma muongozo.Hakuna cha maboresho,wewe ndiye mgumu wa kuelewa.usilishe watu matango hapa...!
Cut points ni 4.0 cha msingi ziwe principleVyuo vyote vipo chini ya TCU,cut points ni zilezile....!
Mtamkie tu kwamba kwa matokeo yake ya kidato cha sita afanye application ya diploma mapema.Asipoteze muda,maana muda ni mali..!Cut points ni 4.0 cha msingi ziwe principle
Hawezi kusoma degree kama hana D mbili nakuendelea.
Guidebook ya TCU huwa inafanyiwa marekebisho kila mwaka, ili uweze kusoma undergraduate degree kwa course tofaut na afya ni lazima uwe na principle pass 2 kwa masomo mawili ambazo zitakupa 4 total minimum point, kwaiyo E ni Principle pass, E=1, D=2, C=3, B=4, A=5 hivyo basi mwenye C na E (3+1)=4 huyu anapata chuo bila wasi wasi kabisa labdaHakuna cha maboresho,wewe ndiye mgumu wa kuelewa.usilishe watu matango hapa...!
Soma hapa kijana, Hii Contradiction ya mantiki ilianzaa 2016 baada ya kubadili uelekeo from E to D and from D to C (2014/2015).Mtamkie tu kwamba kwa matokeo yake ya kidato cha sita afanye application ya diploma mapema.Asipoteze muda,maana muda ni mali..!
Mbona hii guidebook imejieleza vizuri kabisa, kikubwa ni cut off point iwe ni 4 point kwa masomo mawili
Asante ndugu,Guidebook ya TCU huwa inafanyiwa marekebisho kila mwaka, ili uweze kusoma undergraduate degree kwa course tofaut na afya ni lazima uwe na principle pass 2 kwa masomo mawili ambazo zitakupa 4 total minimum point, kwaiyo E ni Principle pass, E=1, D=2, C=3, B=4, A=5 hivyo basi mwenye C na E (3+1)=4 huyu anapata chuo bila wasi wasi kabisa labda
We tunaelewana tatizoo huyuu ndugu yetu...Mbona hii guidebook imejieleza vizuri kabisa, kikubwa ni cut off point iwe ni 4 point kwa masomo mawili
Nadhan atakuwa ameshakuelewaSoma hapa kijana, Hii Contradiction ya mantiki ilianzaa 2016 baada ya kubadili uelekeo from E to D and from D to C (2014/2015). View attachment 1545987
Asante ndugu yangu,Nadhan atakuwa ameshakuelewa
Huyu ndugu amekalili, alafu mgumu kuelewaWe tunaelewana tatizoo huyuu ndugu yetu...
Alichomezaaa ndicho hicho hicho hataki la kuambiwaa wala la kusikia