snayper
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 302
- 218
Me npo Dar ndugu yanguAsante ndugu yangu,
Mdau wa Elimu niko Arusha.
Wewe wapi ndugu yangu
Me npo Dar ndugu yanguAsante ndugu yangu,
Mdau wa Elimu niko Arusha.
Wewe wapi ndugu yangu
Kwa ukimyaa huo Somo limeelewekaa.Huyu ndugu amekalili, alafu mgumu kuelewa
Pamoja saaana kiongozii.Me npo Dar ndugu yangu
Yupo dogo kapata DEE imebidi nimwambie aombe diploma tu.Asante ndugu,
Tusaidiane kuwapa maana lengwaa
DEE kwa bachelor, haitawezekanaYupo dogo kapata DEE imebidi nimwambie aombe diploma tu.
Kumbe uwezekano wa kusoma degree upo?
KatunziAkiwa na DEE atakuwa na point 4 bado hajakidhi vigezo
Akiwa na DSS atakiwa na point 3 hapo kabisa hana vigezo
Akiwa na DES atakuwa na point 3.5 bado hana vigezo.
Cjui ndugu yangu unakwama wapi...!
Ameelewaaa mkuu katuliaKatunzi
Acha kupotosha umma,
Haujui jinsi ya kuhesabu pts ,ili udahiliwe chuo kikuu,ni lazima uwe na minimum principle passes 2 yaani worldwide ni E mbili na kwa tanzania ni D 2,lakini principle pass inaanzia E , hivyo akipata E ,c anasifa ya kusoma degree 100%
Kwa hyo acha kudanganya kwa mambo usiyoyajua
Mdau we usijali dirisha la ku apply vyuo si j3 tar 31 ngoja dogo ata apply alafu nitaleta mrejesho hapa majibu yakitoka watu wengine naona wanajifanya wajuaji hawataki kuelimishwaAmeelewaaa mkuu katulia
Acha kupotosha mambo,kama haujiCE Kuna vyuo Wana chukua Kuna vingine hawachukui kwaiyo a angalia vyuo vilivyo na sifa ya kuchukua kwa pint iyoo
Kwa course za 4.0 unapeta freshAcha kupotosha mambo,kama hauji
Anaweza kupata mkuu maana inshu kubwa Ni point 4 katika masomo mawili na sio D mbiliWakuu Samahani,
Kama kichwa kinavyojieleza apo juu. Kuna chalii apa kapata div 3 ya 15 yani ana CEF vp anaweza pata chuo asome degree au aanzie diploma
Mkuu Arch.katunzi inaonekana wazi kuwa hujui maana ya principal pass.Ngoja nikupe shule kidogo ndugu yangu hii ni sawa na ile ya mhitimu wa kidato cha nne ili awe na sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita,lazima awe ufahulu wa pass tano.Katika hizo pass tano,awe na D 2,C 3 ambazo ni credits, jumla yake ni tano.Huo ni ufahulu wa chini kabisa wanao uhitaji.Kama ikitokea amepata A 2,akapata tena na D 5,Bado hana sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita.ilibidi apate credit 3,ambayo inaanzia C,B,A,na Pass mbili ambazo ni D 2.Ukisikia mtu ana resit kidato cha nne either kapungikiwa na credit 1,2 au zote kwa pamoja.
Mfano wa pili ni pale ukitaka ku join certificate, vyuo vingi vinataka ufahulu katika masomo 4,angalau uwe na D 4,moja lila somo.Ikitokea ukawa na A mbili alafu masomo mengine ukawa na F,bado huna vigezo vya ku join certificate. Itakubidi u resit kutafuta pass mbili ambazo ni D mbili kwa kila somo.Ili kwa kuunganisha A zako mbili za matokeo ya kwanza na D zako mbili za mtihani wako wa pili,jumla utakuwa na pass zako nne na utakuwa na sifa ya ku join certificate.
The same applied kwa matokeo ya kidato cha sita.lazima ufahulu masoma mawili kuanzia D,zinazokupa points 4.Nadhani utakuwa umeelewa...!
Unasoma, mkuu.Wakuu Samahani,
Kama kichwa kinavyojieleza apo juu. Kuna chalii apa kapata div 3 ya 15 yani ana CEF vp anaweza pata chuo asome degree au aanzie diploma
Usibishe kitu usioilewa vizuri.Kasomeni guidebook ya TCU vizuri muelewe.Msikae kumdanganye huyo jamaa na kumjaza matumaini hewa...!Bila D mbili hawezi ku join bachelor degree. Mnakwama wapi.mbona vitu vinajieleza...!
Ni sahihi.Ubishi wangu na wewe upo hapa...!Hiki ulicho kiandika hapa cyo sahihi...! Ni upotoshaji...!
Umeandika maelezo mengi ilhali ni upotoshaji.Ngoja nikupe shule kidogo ndugu yangu hii ni sawa na ile ya mhitimu wa kidato cha nne ili awe na sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita,lazima awe ufahulu wa pass tano.Katika hizo pass tano,awe na D 2,C 3 ambazo ni credits, jumla yake ni tano.Huo ni ufahulu wa chini kabisa wanao uhitaji.Kama ikitokea amepata A 2,akapata tena na D 5,Bado hana sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita.ilibidi apate credit 3,ambayo inaanzia C,B,A,na Pass mbili ambazo ni D 2.Ukisikia mtu ana resit kidato cha nne either kapungikiwa na credit 1,2 au zote kwa pamoja.
Mfano wa pili ni pale ukitaka ku join certificate, vyuo vingi vinataka ufahulu katika masomo 4,angalau uwe na D 4,moja lila somo.Ikitokea ukawa na A mbili alafu masomo mengine ukawa na F,bado huna vigezo vya ku join certificate. Itakubidi u resit kutafuta pass mbili ambazo ni D mbili kwa kila somo.Ili kwa kuunganisha A zako mbili za matokeo ya kwanza na D zako mbili za mtihani wako wa pili,jumla utakuwa na pass zako nne na utakuwa na sifa ya ku join certificate.
The same applied kwa matokeo ya kidato cha sita.lazima ufahulu masoma mawili kuanzia D,zinazokupa points 4.Nadhani utakuwa umeelewa...!
Hahahahah Nakubali MkuuUnasoma, mkuu.
Nenda chuo kapige boom.
Umeandika maelezo mengi ilhali ni upotoshaji.
Kelele miingi ila information ziko bayana saaana..Mkuu Arch.katunzi inaonekana wazi kuwa hujui maana ya principal pass.
Hapo kitakachomfanya akose chuo labda competition ila sio minimum entry qualification.
Umemaliza mkuuKelele miingi ila information ziko bayana saaana..View attachment 1550310